Gen Z: Ruto umepoteza Uhalali wa Kuongoza, Jiuzulu

Gen Z: Ruto umepoteza Uhalali wa Kuongoza, Jiuzulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa

Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu

Nimeogopa sana 🐼
 
Acheni kushabikia mambo ya wenzenu, huku kwetu nani anapambania mambo yetu
 
je unabii utatimia? Ngoja tumuachie muda
 
Attachments

  • FEAD6611-459F-45BC-A017-38F82E38C110.jpeg
    FEAD6611-459F-45BC-A017-38F82E38C110.jpeg
    133.6 KB · Views: 8
thubutu! Sio kwa wale vijana ambao mihadarati ilishaharibu kichwa ataondoka
Sawa mufa mwalim.mkuu.....tutaona yote mwaka huuu....madai yao.mengi ni mtambuka hata akija nani sio ya miaka 1 au 2.....safari ndefu sana meet demand zao plus employment
 
Vijana kwa kula miraa,bangi na Mongoka
Hahahah lakini wanajielewa wanataka nini wamechoka Sana vijana wakati jana nilileta taarifa ya mbunge kuchomewa jumba lake na kuku zaidi ya elf10 na magari ndipo nilipoona Hawa vijana ni hatari sana
 
Sasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa

Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu

Nimeogopa sana 🐼
Hata chura wa katavi hana uwezo wa kuongoza ajiuzulu kabisa
 
hao Genz Z always ni wapuuzi popote pale, hata kama mda mwengine huwa na madai ya msingi ia watalikoroga tu kutia na yao ya kipuuzi
 
Acheni kushabikia mambo ya wenzenu, huku kwetu nani anapambania mambo yetu
Huyo Jamaa ni Chawa wa Mama akiwa huku Nyumbani lakini akiwa huko anaunga mkono Gez Z😆
 
Binafsi naona ni vizuri kushinikiza Serikali ifuate matakwa yenu, ni uzalendo na ujasiri uliotukuka, ila serikali ikishakubali, kuandamana mpaka kumtoa raisi ni hatari esp kwa utawala ujao.
Ruto ana wafuasi, utawasikia akilazimishwa akatoka.

Kenya ni kuwaombea tu wavuke salama hapa na ni muda sasa viongozi wa zamani na sasa kuweka vichwa pamoja kutuliza hii hali.

Hata ikitokea Ruto akajizulu, ajaye atamhitaji kuhakikisha anatoa statement itakayofuta uwezekano wa kisasi ili nchi itawalike.
 
Ruto alipoteza uhalali toka aue Wakenya Rift Valley vurugu za baada ya uchaguzi 2007/08
 
Gen Z hawajaridhika na Ruto kuendelea kukalia kitu cha Urais. Wanataka ajiuzulu
 
Back
Top Bottom