Gen z sahauni kiongozi kuachia madaraka kwa maandamano yenu ya kubeba mabango ya mabox mlochora na makapen

Gen z sahauni kiongozi kuachia madaraka kwa maandamano yenu ya kubeba mabango ya mabox mlochora na makapen

ifa96

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
511
Reaction score
352
Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda tuh kwa kubeba mabango mliyochora na makapen mtachelewa sana
 
Jana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANI
wavimba_20251210_062702_0000.png
 
Naunga mkono hoja maandamano ya aman hayatabadirisha chochote
Wenye viti wa serekali za mtaa tu wanatoana macho kwenye uchaguz je ndo urais waachie tu kiwepes? Na wakishaachia nini kitawakuta? Vp khs watoto wao ambao plan yao waje kuwa viongoz baadae vp kuhusu uwekezaj wao na mali walizokuwa nazo?bado safari ndefu kwa Tanzania kufanikiwa kwa kufanya maandamano ya aman
 
Jana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANI View attachment 3513893kwa hiyo ccm mmeanza mambo yenu ya kutukera
 
Shida hawa watoto wamekuwa wakiambiwa “You can do anything.” wakidhani dunia ipo simple namna wanavyofikiria
 
Back
Top Bottom