Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

Kwa kuongezea wazee ambao walishindwa kupambania haki zako kipindi cha ujana wao kwa sababu tofauti tofauti kama ujinga na kukosa elimu ni muda wao pia.

ujinga wa baadhi ya wazee kipindi cha ujana wao ni matokeo ya maisha ya sasa

Hapa nazungumzia watu wa 1900's.
 
Msanii maarufu avujisha video akiwa mtupu(connection).

Kibu denis aonekana na Hersi somewhere huko duniani wakinywa kahawa.(Simba, Yanga)

Waziri fulani wa fedha aitwa na Takukuru kuulizwa kama kweli mabasi yale ni ya kwake.(porojo za Siasa)

Haya mambo matatu yakijaza vichwa vya habari gen Z wa hapa walivyo wataguswa karibu wote na maandamano hamna tena, weshapata la muhimu zaidi.
 
Na Baba yako ni miongoni mwa hao wazee uliowatukana,
Kama unamjua Baba yako lakini.
 
Diamond konde zuchu wanasemaje leo
Oya kuna show ya singeli na amapiano mahali twenzetuniii
😄

Ova
 
Siyo waigizaji hawa walioandaliwa na Lucas Mwashambwa ili mwisho wa siku waseme mama amewasikiliza
 
Hawa wataandamana kuzipokea Yanga na Simba airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…