Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

Kwa kuongezea wazee ambao walishindwa kupambania haki zako kipindi cha ujana wao kwa sababu tofauti tofauti kama ujinga na kukosa elimu ni muda wao pia.

ujinga wa baadhi ya wazee kipindi cha ujana wao ni matokeo ya maisha ya sasa

Hapa nazungumzia watu wa 1900's.
 
Msanii maarufu avujisha video akiwa mtupu(connection).

Kibu denis aonekana na Hersi somewhere huko duniani wakinywa kahawa.(Simba, Yanga)

Waziri fulani wa fedha aitwa na Takukuru kuulizwa kama kweli mabasi yale ni ya kwake.(porojo za Siasa)

Haya mambo matatu yakijaza vichwa vya habari gen Z wa hapa walivyo wataguswa karibu wote na maandamano hamna tena, weshapata la muhimu zaidi.
 
Kwa kuongezea wazee wapumbavu na wajinga ambao walishindwa kupambania haki zako kipindi cha ujana wao kwa sababu tofauti tofauti kama ufala uliopitilizia ,ujinga ,kukosa elimu na kuendekeza ngono ni muda wao pia.

Ambao ujinga na upumbavu wa wazee hao ni matokeo ya maisha ya sasa

Hapa nazungumzia watu wa 1900's.
Na Baba yako ni miongoni mwa hao wazee uliowatukana,
Kama unamjua Baba yako lakini.
 
Msanii maarufu avujisha video akiwa mtupu(connection).

Kibu denis aonekana na Hersi somewhere huko duniani wakinywa kahawa.(Simba, Yanga)

Waziri fulani wa fedha aitwa na Takukuru kuulizwa kama kweli mabasi yale ni ya kwake.(porojo za Siasa)

Haya mambo matatu yakijaza vichwa vya habari gen Z wa hapa walivyo wataguswa karibu wote na maandamano hamna tena, weshapata la muhimu zaidi.
Diamond konde zuchu wanasemaje leo
Oya kuna show ya singeli na amapiano mahali twenzetuniii
😄

Ova
 
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.

Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

Siyo waigizaji hawa walioandaliwa na Lucas Mwashambwa ili mwisho wa siku waseme mama amewasikiliza
 
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.

Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

Hawa wataandamana kuzipokea Yanga na Simba airport
 
Back
Top Bottom