Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

UvCcm wataandaa maandamano counter gen z tz kupongeza

Hii nchi imekufa
 
Kichekesho🤣
 
Huyu mpuuzi yeye aliwahi kumsikiliza mtu yoyote?
Fundikira, Kambona, Kassanga Tumbo, Mwijage ?
 
Tanzania kijana hana ajira lakini analewa ,ugumu wa maisha unatoka wapi?,kijana hana ajira lakini akipiga ukware kwa watu wawili watatu anakula milo mitatu, ugumu hakuna kabisa , niliwahi kuishi Lagos ni ngumu nyeusi hakuna kusaidiana kama sisi Watanzania,hakika tuna moyo wa imani .Mungu ibariki Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…