Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya