Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

Ili kuzima maandamano ya Gen Z wa Tanzania, ni Shilole amwage mumewe wa sasa tu.....kila kijana atakuwa bize kujadili hilo na kusahau maandamano.
 
29 July ni Interview ya PT... Sasa hii tutaifanya ya kipekee... Walau ichukue wiki mbili... Halafu kilele cha wiki ya kwanza ya usahili (ambayo ni 5 August) kunakuwa na mchakamchaka wa wasahiliwa wote...
 
Mbona bwana ROSTAM AZIZI KAUWACHA HUU UZI MPAKA SASA HIVI AU YUPO UPANDE WA JANUARY MAKAMBA NA NAPE?
 
Ninayasubiri Kwa hamu sana hayo maandamano.lazima tuandamane kumfurusha deaf frog kwenye makazi yake
 
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.

Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

GTCHLpYXUAEPkcN.jpeg
 
Gwandileee nungweee aaah ngoja
 
Back
Top Bottom