Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Gen-Z wa Kenya wanasema hawampendi Rais kwa sababu hilo sio jukumu lao Kikatiba. Mwenye jukumu la kumpenda Rais ni mke wake.
Soma Pia: Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni
Walipoulizwa kwanini hawamuheshimu Rais, wakasema heshima inaanzia kwa Mhusika, ukitaka heshima jiheshimu kwanza, usipojiheshimu huwezi kutumia sheria kulazimisha wengine wakuheshimu. Gen-Z wa Malawi mnasemaje? Majirani wako sawa au miraa imepanda kichwani?