Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
naskia yule rais wa Nchi jirani hapendwi mpaka na sisimizi ila ndo hivyo watu wabaya hata uwaombee mabaya hayawakuti ng'oGen-Z wa Kenya wanasema hawampendi Rais kwa sababu hilo sio jukumu lao Kikatiba. Mwenye jukumu la kumpenda Rais ni mke wake.
Walipoulizwa kwanini hawamuheshimu Rais, wakasema heshima inaanzia kwa Mhusika, ukitaka heshima jiheshimu kwanza, usipojiheshimu huwezi kutumia sheria kulazimisha wengine wakuheshimu. Gen-Z wa Malawi mnasemaje? Majirani wako sawa au miraa imepanda kichwani?
Mwalimu ambae huna usafiri wako binafsi ni mbegu gani kwa wanafunzi wako, kama elimu ni ufunguo wa maisha, mbona umegoma kukufungulia wewe mwalimu kwanza? nini unatufundisha wanafunzi wako na hiyo elimu/ title yako?.Hawa Gen-Z hawapishi wakubwa kwenye daladala. Hata baada ya kujitambulisha kuwa mimi ni Mwalimu; bado hawapishi. Nidhamu na maadili vinashuka kwa kasi kubwa sana
Gen Z sio wa kuchokoza wala kuwaletea ustaarabu. Ni kuwaacha tu wafanye kitu oote wanataka kufanya. Kama jana wawili niliwaomba wasimame ili watu wazima wakae kwenye viti walivyokuwa wamekalia wakanijibu “nasisi tumesimama muda mrefu tumechoka”.Mwalimu ambae huna usafiri wako binafsi ni mbegu gani kwa wanafunzi wako, kama elimu ni ufunguo wa maisha, mbona umegoma kukufungulia wewe mwalimu kwanza? nini unatufundisha wanafunzi wako na hiyo elimu/ title yako?.
Serikali ina mpango gani katika usawa wa usafirishaji wa raia wake kiasi cha watu kukosa siti na kulazimisha wengine kusimama? usihamishe magoli ama kujificha kwenye kichaka cha maadili na nidhamu kisa kuzoea shida ukasahau haki za Watu na kuanza kuleta matabaka kwamba wakubwa wakae wadogo wasimame, ilhali serikali yako inaweka Tozo kubwa na ushuru kwenye mifumo ya usafirishaji na vyombo vyenyewe vya usafiri, ubovu wa mipango miji n.k.