Gen Z wakabidhi barua rasmi ya notisi ya maandamano ya Desemba 9 kwa Kamanda Muliro

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Gen Z wapo fire wameamua kupeleka barua rasmi kwa kamanda Muliro, ili waakae wajuwe kwamba kuna tukio kubwa sana hiyo 9 Dec
================

Kizazi cha vijana wa Kitanzania kinachojulikana kama Gen Z kimethibitisha kukabidhi barua rasmi ya notisi ya maandamano wanayokusudia kuyafanya tarehe 9 Desemba, siku ya Uhuru wa Tanzania.

Barua hiyo imepelekwa kwa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, kama utaratibu wa kisheria unavyotaka kwa maandamano ya amani. Baada ya kuikabidhi, vijana hao waliamua kumpigia simu ofisini kwake ili kuthibitisha kuwa imepokelewa, ambapo simu hiyo ilipokewa na msaidizi wa RPC Muliro. Mazungumzo hayo yamesikika kupitia rekodi ya sauti iliyosambaa mtandaoni.

Gen Z wanasema maandamano yao ya #D9 yanalenga kudai haki, uwajibikaji, na kupatiwa majibu kuhusu ndugu na marafiki waliopotea au kuuliwa wakati wa machafuko ya Oktoba 29, pamoja na kutaka misingi ya kidemokrasia iheshimiwe.
 
Ardhi ya kuzika hao nyumbu wenzako wezi pamoja na wewe ipo ya kutosha msijali, kazi ya kusamehe ni ya Mungu ila kazi ya kutanguliza vibaka na wezi akhera ni yangu nitawasaidia polisi siku hiyo.
 
🙄
 
We tukikumata tunakula hyo nyoroo dadadekii
 
Hiyo Audio shea mkuu
Tuskilize tulioikosa
 
Cheki hili senge
Jike la Abdul hilo.

Lenyewe ni hili hapa chini.
Screenshot_20251113-123417_Facebook.jpg
 
Ardhi ya kuzika hao nyumbu wenzako wezi pamoja na wewe ipo ya kutosha msijali, kazi ya kusamehe ni ya Mungu ila kazi ya kutanguliza vibaka na wezi akhera ni yangu nitawasaidia polisi siku hiyo.
Kazi ya kukufanya uwe ***** ni ya mama yako kazi ya kukufira ni ya masela
 
Ardhi ya kuzika hao nyumbu wenzako wezi pamoja na wewe ipo ya kutosha msijali, kazi ya kusamehe ni ya Mungu ila kazi ya kutanguliza vibaka na wezi akhera ni yangu nitawasaidia polisi siku hiyo.
Ongea na Samia kwanza
 
Back
Top Bottom