Gen Z wakimshangilia Msanii Diamond au ni ndugu zake wa Tandale?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu.

Haya ni mapokezi Msanii Diamond na kwenye video ni Gen Z waliosema hawatamani hata kumsikia sijui imekuwaje, lakini ukweli ndio huo wakimzimikia Msanii wao.

Je, ni tukio lakutengenezwa ili ionekana anapendwa? Au kweli maisha yamerudi kama zamani?.
 
View attachment 3515902
Kama kuna anayemshangilia huyu mseenge basi ujue si Gen Z bali chawa anayejifanya Gen Z. Huo ndiyo ukweli mchungu kwa kila chawa na wale wachafu wawafugao wakitaka walishwe na Watanganyika
 
Wakuu.

Haya ni mapokezi Msanii Diamond na kwenye video ni Gen Z waliosema hawatamani hata kumsikia sijui imekuwaje, lakini ukweli ndio huo wakimzimikia Msanii wao.

Je, ni tukio lakutengenezwa ili ionekana anapendwa? Au kweli maisha yamerudi kama zamani?.
View attachment 3515902
Kama ulikuwa unafuatilia kampeni za ccm watu kubebwa kwenye malori na kupewa walau ten kwa kila aliyepanda bila kusahau tishet na kofia. Basi wewe huishi Tz wapo ladhi kununua watu hawa
 
Wakuu.

Haya ni mapokezi Msanii Diamond na kwenye video ni Gen Z waliosema hawatamani hata kumsikia sijui imekuwaje, lakini ukweli ndio huo wakimzimikia Msanii wao.

Je, ni tukio lakutengenezwa ili ionekana anapendwa? Au kweli maisha yamerudi kama zamani?.
Haina tofauti na kura milioni 31 alizopata Samia..
 
Hata kusikiliza muziki sasa hivi tunafokewa

1000112846.jpg
 
Mbona easy unalipa vijana wa mbogamboga kadhaa wanakuja kukushangilia

Kama Eric Omondi wa Kenya, alikuja kufanya standup comedy Dar es salaam lakini waliandaliwa watu maalumu wa kuja kucheka
 
Back
Top Bottom