Kabisa kanunua, hata ikiwa siyo kweli huenda amesamehewa, ila yule mwenye domo kama bakuli la kuombea uji atasubiri sana nyumbu yule.Genz wanasema eti kanunua views
Hata yule asamehewe tu,aliemponza ni dimpozKabisa kanunua, hata ikiwa siyo kweli huenda amesamehewa, ila yule mwenye domo kama bakuli la kuombea uji atasubiri sana nyumbu yule.
Huyu dogo naye aliongea kashfa sana kama kweli Gen Z wamelegeza kamba basi nao ni machoko tu hawana maana.
Aliongea upupu na yeye, kasikilize vizuri lakini hiyo ni beside the point, issue ni kumfanyia Samia muuaji kampeni, kukalia kimya mauaji ya vijana wenzao huku wao wakijinasibu kama kioo cha jamii na kutouliza maiti zisizoonekana ziko wapi na swali kubwa zaidi ni la nani alitoa order ya shoot to kill bahati hilo Bi Urojo alijitaja mwenyewe kwenye mkutano wake na wazee njaa. Hii ndiyo maana hata Shilole na huyu dogo Bill Nasi walisalimiwa lakini hawakuwepo kwenye gari la yule ***** Dimpoz.Marioo alinyamaza hakutia neno kwenye ile video clip. Hachukiwi kama mdomo mpana
Yule mbuzi hastahiri.Hata yule asamehewe tu,aliemponza ni dimpoz
Huo utageli upeleke magoneni kwa macheni ama manzese kwa mtogore ama mwananyamala kwa bibi nyau.
maajabu hayo chiefviews 1,2m alafu likes 20k!!!!!!!!!??????? Napata ukakasi kidogo
Inatakiwa waendelee kuisoma namba kwa kirumi.maajabu hayo chief
Hizo likes huwa hawazi-boost kwani?views 1,2m alafu likes 20k!!!!!!!!!??????? Napata ukakasi kidogo
🤣🤣🤣 Tumeview Ile asilimia 97.7 unadhani sisi wachache?Huyu dogo naye aliongea kashfa sana kama kweli Gen Z wamelegeza kamba basi nao ni machoko tu hawana maana.