Who knew after 60 years, baada ya kusemwa watanzania waoga hawawezi kutoka, the they did the unthinkableGenz Z wapewe maua yao kwa mara ya kwanza wamesimama. Dharau za kupitiliza na watu kuwaona vijana wetu wajinga jinga sasa wamejiletea heshima na kuonyesha wana hasira.
Tukiendelea kuwa puuza hii nchi itabakia majivu. Vijana wamechoka uongo