Gen Z wasema July 7 Ndio itakuwa Siku ya Uhuru wa Kenya na kuwakumbuka mashujaa waliouliwa kwenye Maandamano

Wako sahihi, Africa inahitaji uhuru tena, ule ulikuwa wa bendera tu na another move ya mkoloni kuendelea kukalia makoloni yake kupitia vibaraka wake aliowapa elimu fake.
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ifike mahala kuwe na kiongozi,Kenya nimakambale hata vidogo vinasharubu.Ruto kawahumble sana! Nikweli Tz kunaukilitimba na kutishana lakini kunahaja ya kusikiliza uongozi. western Democracy is not applicable to Africans.
Yani watu wanateseka wananyanyaswa wewe unaona hawateseki vzur...kwamba kawa humble sana!... asee hii akil bnah
 
Bado naisubiri kwa hamu sana hiyo July 7 ifike.
 
Wakenya nawaonea wivu Kwa hatua waliyopiga ya kuwashughulikia Hawa wakoloni weusi na vibaraka wa wazungu Kwa manufaa ya wazungu pamoja na kwamba Kenya kunachangamoto Chache kuliko Tanzania lakini wenye changamoto Chache wanadai haki na wenye changamoto lukuki wametulia tu.hatari sana.
 
Looters call themselves demonstrators πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Stupid
 
Uku kwetu unafki umeanzia ngazi ya familia ndugu, kwa ivo % kubwa kufanikiwa ni kupata connection ya uchawa...kawaida chawa haishi mahal pasafi, kwa hvo mahal pachaf(kiutendaj na ungoz) ambapo ni Tanzania ni mahali salama kwa machawa(wanafik), ndo maana kmya kimetawala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…