Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
-
- #41
Kama unadhani kuchochea ni rahisi na wewe chocheaUko marekani halafu unasema Gz wamesema!
Kwa maana nyie ndo mnawachochea vijana wafanye vurugu wapigwe nyie mkiwa huko?
Na hao vijana wanawasikiliza!
Jamaa anaona ni sawa watu kutekwa na kuuliwa kisa anapata hela Kwa kuteka watuUmèandika Màwazo ya hovyo kabisa
Huwezi kuzuia mabadiliko ya wakati na kizazi kwa kupiga watu na kuua.
Badala yake utawala unatakiwa kutumia hayo mabadiliko kwa njia chanya kwa maendeleo ya taifa kwa vizazi vijavyo...ndivyo wanavyofanya wazungu.
Afrika ya weusi itabaki gizani milele
Acha kiwakeSISI KAMA GEN Z TUNAKUUNGA MKONO 100%.AWAMU HII TUTAKIWASHA MARA KUMI YA ILIVYOKUWA MO29.LAZIMA TUWAKATAE HAWA WAHUNI WANAOIHARIBU NCHI YETU.
Njoo unikamateUmeongea nao wapi? Wacha uchochezi wewe! Vijana wawe wavumilivu hii takataka imalize muda wake!
Samia ata afanye nini legacy yake ni MO29, mwenyewe amekuwa mpole kama piliton Kuna nchi kamwe hawezi kanyagaMnawezaje kuwadharau GenZ ambao walifanya JWTZ kuingia mtaani baada ya police kushidwa na Rais wa nchi kuapishiwa vichochoroni kiufupi hata boss wako hataki kuskia GenZ wewe unajiliwaza hapa
mje tenaMnawezaje kuwadharau GenZ ambao walifanya JWTZ kuingia mtaani baada ya police kushidwa na Rais wa nchi kuapishiwa vichochoroni kiufupi hata boss wako hataki kuskia GenZ wewe unajiliwaza hapa
Waombe kibali tuu!Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.
Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.
Tukutane 29/10/2026.
Aione
CiC
Mto wa mbu
Illinois-USA
Huyu Sijui masawe wa wapi?!Who cares??
Mje nchini muandamaneHii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.
Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.
Tukutane 29/10/2026.
Aione
CiC
Mto wa mbu
Illinois-USA
Unahamasisha maandamano but you don’t careWho cares??
Huu sasa umegeuka kuwa mradi wa wahuni. Wataandikia bajeti ya kununua vifaa vya kupambana na hao waandamanaji, wataandikia hela ya posho kwa ajili ya walinda usalama, na mwisho wa siku watatusababishia tu usumbufu barabarani hiyo siku ikifika.Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.
Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.
Tukutane 29/10/2026.
Aione
CiC
Mto wa mbu
Illinois-USA
Na wanapenda kweliHuu sasa umegeuka kuwa mradi wa wahuni. Wataandikia bajeti ya kununua vifaa vya kupambana na hao waandamanaji, wataandikia hela ya posho kwa ajili ya walinda usalama, na mwisho wa siku watatusababishia tu usumbufu barabarani hiyo siku ikifika.
Ni mradi pia wa organizers wa vuruguHuu sasa umegeuka kuwa mradi wa wahuni. Wataandikia bajeti ya kununua vifaa vya kupambana na hao waandamanaji, wataandikia hela ya posho kwa ajili ya walinda usalama, na mwisho wa siku watatusababishia tu usumbufu barabarani hiyo siku ikifika.
Kila siku mnapiga tu porojo! Ushahidi uko wapi? Ila kwa upande wenu huwa tunawaona mnavyofurahia mkisikia kuna maandamano. Mnajua tayari kuna posho za kutosha siku zote mtakazojifanya kutadhibiti hayo maandamano.Ni mradi pia wa organizers wa vurugu
They are paid in millions of dollars
And never put w foot on the ground
Halafu sasa kila upande unaogopa serikali inayogopa yasifanyike na wakujiita GEN Z wanaogopa kuyafanya kifupi wanaogopanaMaandamano yanaogopewa balaa. Wanaomba yafanyike tu facebook. AAhaa aaaha aaaha aaha
Hili jibu lako ndio limeharibu uzi wako mwenyewe, kwamba uko USA halafu unahamasisha vijana walioko Bongo watoke?Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.
MO29 ilifundisha vibaka somo kubwa
Umeanza! Yote hii status ya ukimbiziHii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha