Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Umeandika ujinga
 
Ila watu huwa mnapenda kujifariji? Mbona alienda Russia au huko nako ni Tanzania? Hajataka kwenda na hakuna sehemu alikowekewa vikwazo hayo huwa ni maneno yenu kujifariji tu.
Urusi hata wewe ukienda utashubutu kuwaambia watu ulikuwa mamtoni?

Au ulishawahi kusikia wazamiaji wanazamia Russia su sijui moldova au Ukraine?

Watu tunazamia US, UK, FRANCE, GERMANY.....hizi ndiyo nchi bwana. Hata hewa yake inanukia utajiri.

We pangeni safari muende kwa shi chin pin akawape mabasi ya youtong mje muanzishe kampuni ya mwendokasi
 
Watu hawazamii Urusi eti kisa ni pabaya. Watu wengi wanaenda hizo nchi ulizozitaja kwa sababu ya fursa za kiuchumi. Hizo nchi Idadi ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi inashuka kwa hiyo fursa zinakuwa nyingi.

Wabongo wengi wanaojiita wafanyabiashara wanaenda China kwa sababu kule kuna bidhaa za bei rahisi zenye ubora mdogo, ndo maana huwasikii wafanyabiashara wakienda UK au USA.
Kwa hiyo hiyo hoja yako haina mashiko. Ni Kwamba Kiongozi anaenda sehemu ambako anahitaji nako kwa muda huo. Endeleeni kunljipa faraja ndo kitu pekee mnaweza.
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Kuua watu 29/10/2026 haikuwa sahihi.

Kuchochea maandamano yajirudie tena si sahihi

Kukebehi waliokufa 29/10/2025 sio sahihi

Kudharau sababu za maandamano ya 29/10/2025 sio sahihi.

Hata hivyo mtoa mada anachangamsha, anakumbusha, anaamsha hisia, anatahadharisha.

Ila mwisho wa yote hakuna aliye tayari kufa. Yesu alisema kwa mtini jifunzeni.
 
Hate and Cruelity Never Win
 
Upepo tena? We unajua my income au ukilipwa 5m Tsh unadhani ni hela hapa US?

Samia mwenyewe anakubali MO29 ilimtikisa vibaya sana, na hato heal forever
Njoo na wewe uwe mstari wa mbele kuandama! Mbona unawasukuma wenzako wafe wewe unakula bata tu huko?!....

Acha mambo ya kijinga.
 
Samia ata afanye nini legacy yake ni MO29, mwenyewe amekuwa mpole kama piliton Kuna nchi kamwe hawezi kanyaga
Kwani lazima kukanyaga kwenye nchi hizo ambazo wewe unajidai nazo?...... marekani palishaoza! Hakuna faida yoyote ya kukanyaga huko usipokua chawa wao hao wanaokunyonya vinyesi...
 
Naunga mkono hoja, waachwe wadai haki, demokrasia na uwajibikaji
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Na nitajitahidi kuanzia 20 October niwe Tanganyika kujumuika kwenye hilo kongamano.
 
Ni kupoteza muda kuongea kuhusu October 29.
Watu walitaka kuharibu miundombinu wakathibitiwa.
Mbwa taka taka wewe ,kuna miundombinu gani shithole Tanzania mbwa wewe ? Unajua maana ya miundombinu kvma wewe ? Majitu primitive yenye akili fupi Kama ninyi ni takataka Kabisa .Hivi umewahi hata kuvuka border ukaenda nchi za watu wenye akili ukaona nini maana ya miundombinu we fala ?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha

Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.

Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.

Tukutane 29/10/2026.

Aione
CiC

Mto wa mbu
Illinois-USA
Vipi mmefanikiwa kuandamana?
 
Tupe sasa feedback maana leo ndio tarehe 29/10/2026. Na sasa hivi ni saa 10:57 jioni.
 
Back
Top Bottom