johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Idd Amin alifaa Kuwa Mwenyekiti wa Chadema 😃🔥Idd Amin angelikuwa ameshaua milioni moja
Wametisha sanaWapo makini sana hicho kizazi cha Z!
View attachment 3023297
Kwa nyakati hizi asingeweza bali angekua Acc anashika shika nondoIdd Amin angelikuwa ameshaua milioni moja
sio mbaya ni mwanzo mzuriWametisha sana
Hapa Tanzania Wana unfollow Mwijaku 😂😂
Kutoka 6.3m followers mpaka 400k? Hao watu siyo wa kuchezewa!Wapo makini sana hicho kizazi cha Z!
View attachment 3023297
Dunia ya kizazi Cha dot.comKutoka 6.3m followers mpaka 400k? Hao watu siyo wa kuchezewa!
Kasi ya 6GDunia ya kizazi Cha dot.com
🔨🔨Vijana waandamanaji wa Gen Z wameonya Wachungaji na Mapadre kutoruhusu Harambee za Wanasiasa kesho na wale watakaokaidi watakuona Cha moto
Gen Z wamesema kesho watatawanyika katika Makanisa yote kuzuia Harambee za Wanasiasa na Hata Harambee ya Rais Ruto wataizuia
Source: Citizen TV
Nyerere hakuwahi hata siku moja kuwaambia watu Kiongozi ni Mungu.Unajua mnaandika kwa jazba mpaka hata lile la kweli ambalo inawezekana labda mnalo mkaonekana wazushi na waongo wakubwa.Ndiyo kizazi mnachoringia hiki ?Kosa kubwa alilofanya Jk Nyerere ni kuwaambia watu kiongozi yeyote ni mungu athari zake watanganyika wapo kama misukule yaani wao hawajui kudai haki zao.Angalia ujinga mwingine mwaka mzima aliwaaminisha watu kukimbiza kibatari ndio maendeleo😭 .Yaani shuleni wanafunzi wanaimba ,Tanu yajenga nchi yaani wizi tu.Nawatakia usiku mwema naandaa Farasi wangu jumatatu maandamano kariakooo
Dunia ya kizazi Cha dot.com