Gen Z watawanyika katika Makanisa mbalimbali kuzuia Harambee za Wanasiasa kesho, Padre wa Rais Ruto aonywa!

Gen Z watawanyika katika Makanisa mbalimbali kuzuia Harambee za Wanasiasa kesho, Padre wa Rais Ruto aonywa!

Kanisa halijawahi kutueleza ni lini lilibadili lengo lake lililolifanya kuja Africa (lile lengo tulilofundishwa kwenye historia) kwa hiyo ni sahihi vijana wakizuia kanisa kupokea rushwa ya hadharani (kutoka kwa wanasiasa (almaarufu sadaka)

Kanisa ni chawa wa wanasiasa na kuwadi wa ukoloni mambo leo

Waafrika wa Kenya wamesha lielewa hilo
 
Back
Top Bottom