Gen Z wazungumzia " No Reforms No Election" na Kusema kwenye Dunia ya Utandawazi Kususia Uchaguzi kumepitwa na Wakati, Uchaguzi ni Vita!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kichwa Cha Habari Ndio mtazamo wa Gen Z wa nchi Jirani

Wanawaambia Bavicha kwamba Dunia ya Utandawazi haina Kususia Jambo lolote bali kulipambania kwa njia zile zile anazotumia adui ila kwa mbinu za " Ujana" zaidi

Gen Z wanasema Reforms wanazoomba Chadema wanataka zitengenezwe na CCM na hapo ndipo wanapofeli kabisaaa

Ahsanteni sana

Jumaa Mubarak πŸ˜€
 
Naunga mkono hoja ,no retreat no surrender.
 
Domokaya Ana RAM Mdogo sana

Atawachelewesha tu

Bora mandojo kakaa pembeni
 
Unachanganya madesa hapo, kususia uchaguzi na kuzuia uchaguzi usifanyike ni mambo mawili tofauti kabisa, aidha wewe au hao uliowanukuu hawajelewa tofauti ya mambo haya, rudini darasani.
 
Unachanganya madesa hapo, kususia uchaguzi na kuzuia uchaguzi usifanyike ni mambo mawili tofauti kabisa, aidha wewe au hao uliowanukuu hawajelewa tofauti ya mambo haya, rudini darasani.
Kimaarifa Gen Z wamewaacha mbali sana Bavicha πŸ˜ƒπŸ”₯
 
Wana hoja ya msingi sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…