Gender Balance na msukumo wa asili!!!!

Gender Balance na msukumo wa asili!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Kwanza na toa shukurani kwa Moderator kwakutuwezesha te kuwa hapa baada ya mainjinia wa jf kuwa katika mchakato wakuiwezesha jf iende sambamba na tekinolojia!!

Mahudhui:


Nimekuwa nikishawishika kusema hili neno la usawa(Gender Balance) Lina waumiza sana akina mama kwani nguvu ya asili ujikuta ikitawala nakushindwa kutimiza lengo la usawa!

Mfano nawauliza Hao wenzetu kawa nini wamalizapo chakula pale 6x6 kwanini wao hulazimika kuosha vyombo??kwanini wasimwambie partiner wake naomba osha nawewe vyombo??Tukajua equal balance ina take place!!Watujulishe nini kinawasukuma kuosha vyombo wakati chakula wamekula wote???:clap2: Mpaka kieleweke!!!:target:
 
vikikoshwa vinakuwa vipya!! na wengine pia wanavitumia...!!
 
Back
Top Bottom