Gene Deitch: Mvumbuzi wa katuni za Tom and Jerry aliyekufa na utajiri wa kutisha

Huyu jamaa hakuwahi kuwa na "utajiri wa kutisha" kama ulivyoandika. Utajiri wake unakisiwa kuwa kati ya usd 1.5 - 2 milioni (bilioni 3 - 5 tsh) ambao kwa ulaya ni pesa za kawaida sana. Hata kibongo bongo nadhani wasanii wetu wakubwa wa muziki hawakosi hiyo pesa.
 
Msanii gani mwenye BIL3-5? Domo mwenyewe mnayesema anapesa anashindwa kumlipa vizur meneja wake kiasi kwamba makonda anaombwa amsomeshee watoto?
 
Back
Top Bottom