Huyu jamaa hakuwahi kuwa na "utajiri wa kutisha" kama ulivyoandika. Utajiri wake unakisiwa kuwa kati ya usd 1.5 - 2 milioni (bilioni 3 - 5 tsh) ambao kwa ulaya ni pesa za kawaida sana. Hata kibongo bongo nadhani wasanii wetu wakubwa wa muziki hawakosi hiyo pesa.