Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 597
- 1,374
Naomba kujua,
Hakimu anatumia vigezo gani kumpa mdai au kumkadilia mdai kias cha malipo ya general damages katika kesi za madai?au anaamua tu kutoka kichwan mwake na si vigezo.