General election in Kenya 2017

General election in Kenya 2017

BAVARIAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
222
Reaction score
168
Mi naona bwana uhuru Kenyata he is smart na anakila sababu ya kupewa ridhaa na wakenya kwa awamu hii ya Pili alot of , amefanya kwa ajili ya Kenya ambayo pia yanaigusa east afrika kiujumla i.e politically ,socially, economically and all others aspect ,,so wakenya mchagueni huyu bwana kwa ustawi mzuri wa nchi yenu ,,,, achaneni na hao wengine ni laana kwa nchi yenu msikosee kama sie tulivyokisea 2015 ,,,,,,,dunia saahizi haiitaji kuongozwa kibabe but ni uwezo wa mtu kuonyesha uwezo wake wa kuleta maendeleo na sivinginevyo kama wengi wa viongozi hasa Afrika wanavyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kama sisi tulivyokosea.. lol, Chagueni Raila Wakenya he's the right man
 
Back
Top Bottom