General Kagame is the beist of Africa

Jasusi wa bamia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Yericko anakaa na mkurugenzi wa CIA, FBI unamchukulia powaa.. Secret Service wanalo jina lake katika umashuhuri wa kimedani
 
Nyie wanyarwanda naona hamkauki kuanzisha siredi. Mnapima upepoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hizo PROPAGANDA zenu mwisho wake ulikuwa zilipoingia smart phones hamna mtu mwenye akili timamu atakueleweni na propaganda zenu za kutafuta huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…