General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Kijamaa kilikuwa kinacheka ile siku mnapitisha zana zenu za miaka ya 19 century. Sema Rwanda jeshi lao ni nazifu asee
 
Hahaa ni nchi gani yenye watu/raia/viongoz wote waadilifu?
Tanzania tunautii kwa taifa letu, changamoto za utukutu zipo kila taifa hata huko korea rais wao kafanya utukkutu.
Nmeona kwenye nyuz za vita ya drc wengi wakicoment kwamba kwakuwa wacongo sio waadilifu basi ni halali nchi yao igawanywe,sasa kama ni hivo bhasi mataifa yote ya Africa yanatikiwa kuvamiwa na nchi za dunia ya kwanza.
 
Muhozi ni kichaa alie na cheo.
General maarufu Afrika
 
Kijamaa kilikuwa kinacheka ile siku mnapitisha zana zenu za miaka ya 19 century. Sema Rwanda jeshi lao ni nazifu asee
Afrika Mashariki saivi wao ndo wanaongoza kwa kuwavalisha kiunadhifu zaidi askari wao.

Yaaani wanavalishwa vizuri haswa. Nguo nzuri, safi na viatu vizuri sana. Pia nguo zao zinaonekana kuwa za kisasa kweli (Military gears za kisasa kweli)
 
Hahaa ni nchi gani yenye watu/raia/viongoz wote waadilifu?
Nchi kama Swiss huweki kukuta huu ujinga sisi huku asilimia kubwa sio Wazalendo unaweza kukuta mtu kama Issa Shivji ni Mzalendo kuliko Mzee wa Kigogo kutoka Bahi.
 
Niambie hao waislam wazuri wako wapi. Mbona hatusikii carate, kungfu na judo vikifundishwa makanisani ila misikitini. Kama wanatumika eti sijui na matakataka gani Marekani, na Israel, mbona Marekani hawawatumii, wakatoliki, wasabato, walokole au WAKRISTO wowote ila ninyi waislam. Kwa nini mtumike kuua kama Quran yenu hairuhusu kuua ?
 
Afrika Mashariki saivi wao ndo wanaongoza kwa kuwavalisha kiunadhifu zaidi askari wao.

Yaaani wanavalishwa vizuri haswa. Nguo nzuri, safi na viatu vizuri sana. Pia nguo zao zinaonekana kuwa za kisasa kweli (Military gears za kisasa kweli)
Uku kukutana na JW kavaa suruali mpya afu koti lime pauka ni kawaida sana
 
Hujawahi kusikia kuhusu waasi wa LRA wa Uganda kwa kirefu (the Lord's resistance army) kwa kiswahili itakuwa ni majeshi ya upinzani ya Bwana wanaongozwa na Joseph Kony. Hawapo mashariki ya Kongo kwa sababu shughuli zao zilikuwa kaskazini mwa Uganda hivyo wakizidiwa huwa wanakimbilia Sudan Kusini. Malengo yao ilikuwa kuipindua serikali ya rais Museveni na kuanzisha serikali mpya itakayotawala Uganda kwa kufuata Biblia. Soma habari zao na chimbuko lao mambo ya ulokole hayo na kuona maono na vitu kama hivyo.
 
Waliisumbua sana serikali ya Uganda. Japo walizidiwa nguvu na majeshi ya serikali na wanaonekana siyo tishio siku hizi. Ila hawakumalizwa wote na Joseph Kony mpaka leo hajakamatwa.
 
Hapana huko ni parefu hawapawezi kabisa !
Labda kububujikwa na machozi ya furaha hapo sawa πŸ˜³πŸ‘
Mkuu usiwa under estimate mkuu maana wale inaelekea ni ma jack of many trades. Wanajua uchumi, siasa, uongozi, marketing na kila kitu hata kama hawajasoma. So bila shaka huenda wana mbinu za kijeshi na kipolisi mkuu. Utakuwa muda sahihi wa kuonyesha mapenzi kwa taifa hili.
 
Wengine ni IRA wa Ireland walikuwa waasi waliotaka Ireland ijitenge na UK. Walifanikiwa kwa kiasi kwa maana southern Ireland siku hizi ni nchi nyingine inaitwa republic of Ireland lakini nothern Ireland ndiyo bado ipo chini ya UK.

Malengo yao yalikuwa yakisiasa ndiyo ila kulikuwa na udini ndani yake. Ireland wao ni wakatoliki tofauti na UK ambao wao ni wa Anglikana.
 
Siku hizi wazungu ndio hawataki tena kusali japo siyo wote. Ila enzi hizo za vita ya kujitenga walikuwa wanapenda kusali
 
Usiwaogope waislam ni watu waungwana sana. Dunia ina waislamu zaidi ya bilioni moja wangekuwa wabaya pasingekalika.

Hapa Tanzania wapo zaidi ya milioni 15 nafikiri na nchi ni kisiwa cha amani.
 
Yeah nkwel, ila sasa kwa passmark ya uzaldndo wetu lazma kuna watu wataonekana wazalendo hata kama hawakidhi vigezo vya passmark za uzalendo kwa first world countries.
 
Umri huu tena,, nawajua wote. Ila sikuwahi hata moja kusikia wanawalenga waislam. Ni magonvi yao kisiasa tu. Tofauti na magaidi ya kiislam wanafurahia wanalenga na wanapanga kuuwa WAKRISTO tu.
 
Umri huu tena,, nawajua wote. Ila sikuwahi hata moja kusikia wanawalenga waislam. Ni magonvi yao kisiasa tu. Tofauti na magaidi ya kiislam wanafurahia wanalenga na wanapanga kuuwa WAKRISTO tu.
Wao LRA hawachagui dini wanaua wanakijiji wowote waliokaa kizembezembe tu. Na hata waasi wanaotumia dini ya kiislamu kueneza propaganda zao huwa wanaua waislamu wenzao ambao hwafuati hizo itikadi zao. Fuatilia vizuri. Mfano mzuri ni wale jamaa wa kibiti
 
Wa Kibiti, Tanga na Kidatu Morogoro, ndiyo walikuwa wanaanza, wasingedhibitiwa na Serikali yetu imara, makanisa yangechomwa kama walivyoanza Zanzibar na Bukoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…