General Tyre [EA] Ltd kuanza uzalishaji mwaka 2013

Mkuu MpendaTz nashukuru kwa maoni yako ingawa kwa sehemu kubwa sikubaliani nayo.

General Tyre iliomba mkopo wa dollar 10 milion kutoka NSSF kwaajili ya kuingiza teknolojia mpya [modernise].Chini ya mpango huo wataalamu walishauri mitambo ya kutengeneza matairi makubwa ilikuwa imepitwa na wakati mno.Basil Pesambili Mramba akatumia wadhifa wake wa waziri wa fedha akaiamuru BOT idhamini mkopo huo pamoja na kubainika wazi General Tyre isingeweza kurejesha mkopo kwa wakati uliokubaliwa kwasababu tayari ilikuwa ikidaiwa na mabank mengine mawili.

NSSF ilianza kutoa mkopo kwa awamu lakini hakuna mashine zilizonunuliwa hata moja badala yake mashine za zamani zikapakwa rangi.Safari za nje ya nchi kwa viongozi [management] zikaongezeka maradufu,wajumbe wa bodi nao wakatumbukia katika ufisadi wa kutisha.Wakopeshaji nao wakaonjeshwa utamu wa fedha badala ya kuingiza fedha kwenye a/c za General Tyre wakabuni utaratibu wa kujinyakua fedha juu kwa juu.Kampuni hewa zikaanzishwa kwaajili ya kutoa ushauri wa kitaalam zikachotewa dollar 1 milion.






 
Last edited by a moderator:
kuna wafanyakazi walioitumikia GT na waliondoka bila kitu na wapo mpaka sasa mitaani vipi hawa pamoja naujuzi wao hawatapewa kipaumbele kwa sababu ifahamike tokea ife hamna kiwanda kingine cha kutengeneza tairi kimekuwepo useme walipata ajira huko hao nao mnawazungumziaje kwa sababu sasa ivi mtashanga wataalam wanatoka njee ya nchi nisaidienihapo
 
Mkakati wa sasa ni kuwachukua wafanyakazi wote wenye uwezo wa kufanyakazi.Iwapo afya yako ni njema tegemea kulamba ajira mwakani.

 

Ngongo, hapo ndipo maswali yangu yamelenga kutafuta jibu Mkuu. Je angeweza kuhusika mtu mmoja kweli? Angalia list ya waliohusika uliyotoa sasa inaonyesha umekubaliana na mimi. Sasa ni wangapi wamefikishwa mahakamani kujibu tuhuma? Ndiyo maana ufisadi hauishi nchini Mkuu. Maana sasa imekuwa kama watu wanakaa kikundi wanakubaliana kufanya jambo, mmoja au wawili wanajitoa mhanga kuwa kama likilipuka yeye au wao w/atakuwa tayari kupata adha yote ya sheria pamoja na kufungwa wakati wenzake wakiendelea kutengeneza na kuweka mambo vizuri, si miaka kama mitatu tu na wanahakikishawanahonga mpaka kesi ifutwe. Na kama ikibidi kufungwa basi waliobakia watamtunzia mali akitoka anakabidhiwa sehemu yake. Sasa namna hiyo unategemea kweli ufisadi utakwisha?
 
Mkuu Ngongo shukrani kwa taarifa. Pamoja..
 
Last edited by a moderator:
NEWS

By ADAM IHUCHA Special Correspondent

Posted Saturday, December 15 2012 at 17:19


IN SUMMARY



  • Private investors were also putting in money to make the firm operational by mid-2013, to cater for the growing demand for quality tyres in the country and beyond.
  • The firm is expected to employ nearly 400 workers and produce 1,000 quality tyres a day.


The state is preparing to pump in over $20 million to breathe life into the defunct General Tyre East Africa, whose production lines stalled in 2009 due to, among other factors, importation of cheap tyres.

Industry and Trade Minister Dr Abdallah Kigoda told The EastAfrican private investors were also putting in money to make the firm operational by mid-2013, to cater for the growing demand for quality tyres in the country and beyond.

"I cannot disclose names, but there is a long list of investors interested in a joint venture with the state to revive General Tyre; we are even now doing due diligence," Dr Kigoda said in an interview in Arusha.

The firm is expected to employ nearly 400 workers and produce 1,000 quality tyres a day. This means that, without interruptions, the plant could be producing 240,000 tyres a year, earning the country Tsh96 billion ($60million) if an average price per tyre is taken as Tsh400,000 ($250).

General Tyre, the only tyre plant in the country, will start off by supplying tyres for all government vehicles before it enters the private sector market in the country and region.

Tanzania, East Africa's second largest economy, has seen vehicles imports rise by nearly 70 per cent in a single year, reflecting an emerging middle class produced by an improved economy and greater social welfare.

The country had registered 93,009 cars of different types by the end of 2011, compared with 55,144 in 2010. The official government data, which does not include government, police, army and donor funded vehicles, shows that 67 per cent of registered vehicles were light passenger vehicles with a carrying capacity of less than 12 passengers.

Chinese tyres

The revival of General Tyre offers a quick fix, not only for the country, but also for East Africa in general, which imports the bulk of its tyres from China, Japan, India and Dubai. The cheap imports have been blamed for the increase in road accidents.

In Tanzania, traffic police reports show that road accidents claimed the lives of 3,582 people last year. During the same period, over 1,000 bus passengers accounting for 18 per cent of the total deaths also perished. Police reports blame most of these road accidents on tyre bursts.

Chinese tyres are gaining popularity in several African markets. Many African countries are price-sensitive markets and prefer to import low-priced Chinese tyres rather than the expensive European and American brands.

As a result, China has emerged as a leading exporter of tyres to African countries like Tanzania.

Analysts say most illegally imported tyres have a quality problem emanating from storage; some are poorly stored in godowns in hot places like Dubai for months, which seriously compromises quality.

Dr Gasper Mpehongwa, a lecturer at Tumaini University, said the revival of General Tyre will pose competition for the only East African tyre manufacturer, Sameer Africa Ltd, leading to improvements in quality and lower prices.

"General Tyre will make tyres that can withstand our poor roads," Dr Mpehongwa told The EastAfrican.

Former General Tyre sales manager Phillip Mweta said the EAC tyre market is so huge that even having two local manufacturers will not satisfy it.

"General Tyre would be producing only 240,000 tyres a year, mainly for heavy duty vehicles, but the rough estimated demand for heavy duty tyres in Tanzania alone can hit two million tyres per year," Mr Mweta explained.

In the four years since General Tyre closed shop, Sameer African has dominated the EA market with its Yana and Firestone brands.

General Tyre, which was once the largest industrial plant in the region, started production of tyres in 1971. At its peak it was making 1,200 tyres a day.

In the late 1990s and mid 2000s, the state-owned plant changed ownership several times with the divestiture from public corporations by the government.

Analysts are however sceptical that it can bounce back to its production levels of the 1970s and 1980s, citing changes in technology.



 
That will be better... bad tyres take LIFE...
 
Hapa itakuwa kama ATC, na ni kuaharibu fedha za walipa kodi tu, hakuna kitu hapa, ni vigumu sana kwa sasa hiki kiwanda kumudu Competition iliyoko, na kwa sababu ni cha umma na mabosi wao watakuwa wanaangalia jinsi ya kulipana posho na kuiba, hiki kiwanda hakitafika mbali, na kitakufa kwa mara ya pili, Serikali inaingiza siasa sehemu isiyo staili siasa
 

In CCM, this will be a DAYMARE!!! Wait and see.
 
Industry and Trade Minister Dr Abdallah Kigoda told The EastAfrican private investors were also putting in money to make the firm operational by mid-2013 [...]"I cannot disclose names, but there is a long list of investors interested in a joint venture with the state to revive General Tyre; we are even now doing due diligence," Dr Kigoda said in an interview in Arusha.
Hapo ndipo pa kuangalia kwa makini. Kwanini hiyo due diligence iwe so secret? kwanini kusiwe na tender tu ya wazi watu wa-apply na ijulikani fulani ndie atajishindia nafani ya joint venture? Zaidi ya hapo I can only praise the initiative kwa kuzalisha nafasi za kazi 400. Mangine tutasema as we go.
 
Wafufue tu ili mafisadi wale shares za taifa. Mi nashngaa watu wanaokulaga mbegu. General ture was operating perfectly when it was stopped!
 
JK afufue General Tyre japo tumkumbukie hilo.
 
Kama nilivyosema kwenye Katiba ni lazima kuwe na kifungu kinachoeleza kazi za serikali ni zipi? Maana hii ya kila waziri kuja na mawazo yake hatutafika. Tatizo sio $20m bali ni gharama za matengeneza ya matairi. Je ni kwnini China wanaweza kutengeneza kw bei ya chini ya sisi tunashidwa wakati tuna mipira, market , Gas n.k. tatizo ni production cost na sipendi kuona serikali kwenye biashra hata kidogo kama ni investment nzuri basi tungepata investors. Serikali inatakiwa kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji kama vile kupunguza gharama za tax kwenye imported machines na chemicals badala ya kufikia Watanzania watanunu matari kwa $250 wakati hata Marekani ni Quality Matari ni $100
 

Production inaanza lini mkuu? Tunasubiri kwa hamu kutumia product za nyumbani tuachane na tairi za mchina.
 
Genetal tyre iko wapi na nchi gani?
 

Na ni Mramba huyuhuyu alieiua THB.

GT kilikuwa ni kiwanda moja ya alama za maendeleo ya Mtanzania ya kujivunia.

Wakati mwingine tunamlaumu Nyerere bila sababu huku tukiwaachia watu kama Mramba aendelee kupeta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…