Generali wa Kenya akimbia uwanja wa vita Goma, DRC

Ndio tatizo mtu anapanda vyeo mkapa u general hawajawahi hata kwenda mission za UN. Matokeo yake zero experience on the field
 
tangu lini katika historia wakenya wakajua kupigana vita?
 
Habari hii imfikie Mkisii wa Kajiado MK254 aliyejigeuza M-Yukrein, kumbe huku nyumbani ni debe tupu.
 
Mtu anaitwa General lakini hana tofauti na raia.
Hata raia wamemzidi wa eneo hilo la vita alienda sababu wako kibao hawajakimbia hayo maeneo pamoja na mashambulio.makubwa ya M23

Huyo alikuwa General wa mchongo
 
Hii ni aibu kubwa kwa taifa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…