Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Hatimaye BMW wamezindua generation ya Nane ya 3 Series, G50, ukiwa ni miaka nane tokea generation ya saba itoke, G20 na miezi SITA tokea wazindue BMW i3 (NA0) aka 3 Series ya Umeme.
Pamoja na kwamba BMW zoote generation yake imekuja ikija na Diesel, (kasoro generation ya kwanza E21), basi na hii G20 Haina Diesel. Zitakuwepo za Petrol tu au hybrid.
318i na 320i zitakua na 4 cylinders 2.0L B48 engine, pamoja na 48V mild-hybrid assistance, na zitatoa 156 HP na 211 HP respectively.
M350 xDrive ambayo ni powerful, itakuja na 3L B58 TwinPower Turbo inline-6, ukiwa na mild-hybrid assistance, na itatoa 440 HP, na zote zitakua na 8-speed automatic transmission na wakati plug-in hybrid itakuja baadae.
Models zote zitaanzia kuuzwa mwakani, 2027, kwahiyo kwasasa tutunze pesa.
NB: Kuhusu BMW i3 (3 Series ya Umeme) Uzi wake huko hapa: BMW Wamezindua BMW i3 Sedan. Hii ni 3 Series ya Umeme.