Kwa bongo hii hata huwezi kuifaidi...Bei gani? Tatizo gari zinazokua chini sizipendi kabisa.
Dah 😂😂 SA ndio kuna road za kuchapa fimbo hizi vyuma.... Ukianza kuiedit sana gari bwashee inakua kama mkebeSay no more. View attachment 3681447
😂😂😂Say no more. View attachment 3681447
Sasa km hapo ndio nini hiko? Si mkebe kabisa, 😂😂😂Dah 😂😂 SA ndio kuna road za kuchapa fimbo hizi vyuma.... Ukianza kuiedit sana gari bwashee inakua kama mkebe
Haswaa, gari iko chini mnoo. AaahKwa bongo hii hata huwezi kuifaidi...
Kali Sana kwakweliHatimaye BMW wamezindua generation ya Nane ya 3 Series, G50, ukiwa ni miaka nane tokea generation ya saba itoke, G20 na miezi SITA tokea wazindue BMW i3 (NA0) aka 3 Series ya Umeme.
View attachment 3681429
Pamoja na kwamba BMW zoote generation yake imekuja ikija na Diesel, (kasoro generation ya kwanza E21), basi na hii G20 Haina Diesel. Zitakuwepo za Petrol tu au hybrid.
View attachment 3681430
318i na 320i zitakua na 4 cylinders 2.0L B48 engine, pamoja na 48V mild-hybrid assistance, na zitatoa 156 HP na 211 HP respectively.
View attachment 3681432
M350 xDrive ambayo ni powerful, itakuja na 3L B58 TwinPower Turbo inline-6, ukiwa na mild-hybrid assistance, na itatoa 440 HP, na zote zitakua na 8-speed automatic transmission na wakati plug-in hybrid itakuja baadae. View attachment 3681434
View attachment 3681433
Models zote zitaanzia kuuzwa mwakani, 2027, kwahiyo kwasasa tutunze pesa.
🤣🤣🤣 Hii chopa itakuwa ya muhuni wale mabanditSay no more. View attachment 3681447
🤣🤣🤣 manina hii chuma lazima iwe ya wahuni wale mabandits ,, haiwezi kuwa ya mchovu kabisaaaSay no more. View attachment 3681447
Hizi ndiyo gari sasa. Achana na ile takataka ya juziHatimaye BMW wamezindua generation ya Nane ya 3 Series, G50, ukiwa ni miaka nane tokea generation ya saba itoke, G20 na miezi SITA tokea wazindue BMW i3 (NA0) aka 3 Series ya Umeme.
View attachment 3681429
Pamoja na kwamba BMW zoote generation yake imekuja ikija na Diesel, (kasoro generation ya kwanza E21), basi na hii G20 Haina Diesel. Zitakuwepo za Petrol tu au hybrid.
View attachment 3681430
318i na 320i zitakua na 4 cylinders 2.0L B48 engine, pamoja na 48V mild-hybrid assistance, na zitatoa 156 HP na 211 HP respectively.
View attachment 3681432
M350 xDrive ambayo ni powerful, itakuja na 3L B58 TwinPower Turbo inline-6, ukiwa na mild-hybrid assistance, na itatoa 440 HP, na zote zitakua na 8-speed automatic transmission na wakati plug-in hybrid itakuja baadae. View attachment 3681434
View attachment 3681433
Models zote zitaanzia kuuzwa mwakani, 2027, kwahiyo kwasasa tutunze pesa.
SanaaaaImekata kibabe ee