Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hawa Mercedes Benz sio wa kuwachukulia kitoto. Sasa wametoa hii 2nd gen ya AMG GT (GT 63 to be specific) aisee ni kali. Usichanganye na SLS kwa leo.
Tukumbuke AMG GT ni coupe yenye arrangements ya seat 2+2.
Tukijirudisha nyuma mwaka 2014, hawa Benz ndio walianza kutoa 1st Gen za GT ambazo kwa wadau wa movie wameiona kwenye Justice League ambapo Batman alikua anampa lift The Flash.
Na wadau wa F1 wameiona kwenye Safety car mwaka 2015, 2016 na 2017 GP.
Sasa hawa jamaa wameiupgrade, ndani na nje hii 2nd gen.
Mbwle imekua aggressive, na aerodynamics imeimprove. Cheki hidden door handles izo.
Kwanza GT63 imepunguzwa ukubwa wa engine displacement, sasa hivi tuna 4.0L V8 twin turbo M177 engine, top speed 315 km/h, acc 3.2 sec from 0 to 100kph, ikiwa na 9 speed gear Auto (AMG speed shift) na ni AWD.
Kupunguza displacement haina maana wamepunguza horsepower, kwasababu sasa GT63 version ina horsepower 577.
Ndani wameimprove technology, kuanzia kwenye cluster gauge na infotainment screen.
Kama kawaida steering ina options kibao. Sema ndio ivyo wadau uwa mna mind tukisema gari lazima liwe na buttons za kutosha kwenye steeling.
Bei sio kali sana, $178,000/= najua matajiri hamshindwi.