Generation ya pili ya Mercedes Benz AMG GT 63 ni kali aisee!

Generation ya pili ya Mercedes Benz AMG GT 63 ni kali aisee!

Inawezekana maana hii inategemeana pakubwa na jinsi nchi za kiarabu ambao ni supplier wakubwa wa mafuta wana interract na USA maana alternatives zipo nyingi sana ila kwa sababu bado nchi za kiarabau zinamtumikia USA ili kujiendeleza kiuchumi in return USA anazidi pia kutajirika sioni kama itakuwa karibuni bado bado sana .

Imagine kuna mtu kama Stanley Mayer huyu jamaa alivumbua gari ambalo lilikuwa linauwezo wa kutumia maji kama chanzo cha nishati na by product ni oxygen gas wakati Hydrogen inatumika kufanya mlipuko(combustion) jamaa alitaka kuli patent taarifa ambazo hazikuwa nzuri kwa oil moguls ikabidi waongee na USA kuomba kikao na jamaa USA akatuma secret services wakamuita jamaa ku bagain na moguls
condition ya kwanza ilikuwa watamlipa awauzie uvumbuzi wake na waingie mkataba wa kutotengeneza tena kitu kama hicho jamaa akakataa , condition ya pili ilikuwa basi alitumie mwenyewe ila pia akakataa.

Baada ya hapo akawa anapewa vitisho sana na mara ya pili alipoitwa tena kwenye kikao ndiyo ikawa mwisho wake , alipewa sumu na alipokufa tu wasiojulikana wakajaa nyumbani kwake na kuchukia documents zote zinazohusu ubunifu wa jamaa pamoja na gari ila kaka yake akaipambania hadi ikarudishwa ili ibaki kama kumbukumbu ya mdogo wake.

Ukisoma articles nyingi mtandaoni utagundua kwamba maji kutumika kama nishati (ukiondoa kwenye kutengeneza mzunguko wa prime mover kwenye Hydro power plant) ni teknolojia ambayo ilishaanza kuwa perfected muda sana ila nadhani kwa sasa hawataki kuitumia maana haitowafaidisha wawekezaji wakubwa na USA kwa ujumla .
Wamarekani ni watu wa ajabu Sana kilakitu wanataka wao ndiyo wamiliki.
Hii technology ya magari ya UMEME ni hawa marekani wamefosi Tu iwepo sokoni ingawa huku kwenye magari ya UMEME wanaenda kuangukia pua maana mchina ndiyo balaa
 
Kivipi? Mchina anatoa gari ZAKE za umeme. Na Wazungu wanaendelea kutoa zao. Yaani niache kununua BMW au VW ya umeme nikanunue gari ya Kichina ya umeme? Hell no, kila mtu na wateja wake.
 
Kivipi? Mchina anatoa gari ZAKE za umeme. Na Wazungu wanaendelea kutoa zao. Yaani niache kununua BMW au VW ya umeme nikanunue gari ya Kichina ya umeme? Hell no, kila mtu na wateja wake.
Wenzako Huko Europe walikuwa wanasema kama wewe na Leo hii wameanza kutumia magari ya kichina.
Kampuni ya BYD inafanya vizuri Sana ulaya na Australia pengine baada ya miaka kadhaa mchina atateka soko la Africa kama mabus ya yutong
 
Wamarekani ni watu wa ajabu Sana kilakitu wanataka wao ndiyo wamiliki.
Hii technology ya magari ya UMEME ni hawa marekani wamefosi Tu iwepo sokoni ingawa huku kwenye magari ya UMEME wanaenda kuangukia pua maana mchina ndiyo balaa
True mchina tesla car zake si za kitoto aisee battery inakaa na chaji mnooo ila bei zake sasa
 
Kivipi? Mchina anatoa gari ZAKE za umeme. Na Wazungu wanaendelea kutoa zao. Yaani niache kununua BMW au VW ya umeme nikanunue gari ya Kichina ya umeme? Hell no, kila mtu na wateja wake.
Jamaa yangu amechukua Audi EV, full charge for 30 mins inatembea 500kms.
Yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom