Generation ya pili ya Mercedes Benz AMG GT 63 ni kali aisee!

Wamarekani ni watu wa ajabu Sana kilakitu wanataka wao ndiyo wamiliki.
Hii technology ya magari ya UMEME ni hawa marekani wamefosi Tu iwepo sokoni ingawa huku kwenye magari ya UMEME wanaenda kuangukia pua maana mchina ndiyo balaa
 
Tatizo la hilo gari lina umeme mwingi 😁
 
Wamarekani ni watu wa ajabu Sana kilakitu wanataka wao ndiyo wamiliki.
Hii technology ya magari ya UMEME ni hawa marekani wamefosi Tu iwepo sokoni ingawa huku kwenye magari ya UMEME wanaenda kuangukia pua maana mchina ndiyo balaa
Kivipi? Mchina anatoa gari ZAKE za umeme. Na Wazungu wanaendelea kutoa zao. Yaani niache kununua BMW au VW ya umeme nikanunue gari ya Kichina ya umeme? Hell no, kila mtu na wateja wake.
 
Wenzako Huko Europe walikuwa wanasema kama wewe na Leo hii wameanza kutumia magari ya kichina.
Kampuni ya BYD inafanya vizuri Sana ulaya na Australia pengine baada ya miaka kadhaa mchina atateka soko la Africa kama mabus ya yutong
 
Wamarekani ni watu wa ajabu Sana kilakitu wanataka wao ndiyo wamiliki.
Hii technology ya magari ya UMEME ni hawa marekani wamefosi Tu iwepo sokoni ingawa huku kwenye magari ya UMEME wanaenda kuangukia pua maana mchina ndiyo balaa
True mchina tesla car zake si za kitoto aisee battery inakaa na chaji mnooo ila bei zake sasa
 
Kivipi? Mchina anatoa gari ZAKE za umeme. Na Wazungu wanaendelea kutoa zao. Yaani niache kununua BMW au VW ya umeme nikanunue gari ya Kichina ya umeme? Hell no, kila mtu na wateja wake.
Jamaa yangu amechukua Audi EV, full charge for 30 mins inatembea 500kms.
Yajayo yanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…