Generation Z hawatumii nguvu kwenye maisha, chard Talent amenata na beat kiwepesi kabisa

Generation Z hawatumii nguvu kwenye maisha, chard Talent amenata na beat kiwepesi kabisa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Generation Z ni kizazi kisichotaka mambo mengi kwenye maisha, mfano nimekutana na hiki kipande cha mchekeshaji Chard Talent akiweza kuimba kwenye beat iliyopigwa kwa kutumia Guitar na msanii Hamis BSS. Binafsi nimegundua Chard Talent pia kwenye mziki yuko vizuri.

Chard Talent amenata na beat vizuri sana ukiongezea na mashahiri ambayo ametumia maswaibu ya kila siku kwenye jamii zetu mfano demu kula nauli, pyramid scheme ya tafuta wenzakk wawili uwe tajiri, demu kumnunulia msosi akakaza kutoa Mbususu na melody iloyokuwa nzuri, Huku Hamis BSS akipiga Guitar kwa mbali.



View: https://youtu.be/u1b0VyVKJiI?si=i-5nzansbUqtZruK
 
Back
Top Bottom