Wewe bila shaka ni Mtumishi wa Tanesco hapo Masasi karibu na Stand kuu😁Mtwara umeme bado sana aisee Tena Bora hapo Mtwara manispaa Kuna nafuu kuliko huko Masasi na wilaya zingine umeme kwao bado ni kama anasa,haiwezi kupita siku bila kukata Tena siku nyingine hutokea power outage kutwa nzima bila sababu za msingi
Hapana mkuu Mimi siyo mtumishi wa tanesco Bali ni mhanga wa huduma mbovu ya umeme usiotosha kuwasha hata fridge kwani nimewekeza huko ila naambulia hasara ya pesa na mali..Nyumba ya sh ngapi nikuunganishe na mtu chap Mimi siko huko Kwa Sasa mkuuWewe bila shaka ni Mtumishi wa Tanesco hapo Masasi karibu na Stand kuu😁
Mkuu nitafutie nyumba full ya kupanga hapo mjini nakuja Masasi kuhamia kikazi