Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Nafikiri ipo haja ya kuwaunga kwenye grid kama bado, kwani ile Diesel wanayotumia ni ghali sana ukilinganisha na gharama za umeme wa maji.
Katika kipindi cha mahojiano Radio one jioni hii; Naibu waziri mkuu alituambia kuwa Generator inayotumika kuzalisha umeme ukanda huo inatumia lita za Diesel 36,000 kwa siku (24hrs) inamaana hiyo generator inatumia lita za Diesel 25 kwa dakika moja?