KumekuchaMkuu spana zenye uzito wa tani 20 per pc tayari zinaandaliwa ....
Chief wa United Nation ni beberu.. ha ha haHao ni mabeberu tu!
Huko alikokuwepo Asha Migiro!!!Chief wa United Nation ni beberu.. ha ha ha
Mntamponza baba yenu bure!! aweke record ya kuwa Rais wa kwanza Tanzania kuburuzwa ICC.
Usicheze na chief wa UN aisee!! Vichezeeni hivi vi taasisi vya Africa ila siyo UN.
Tena waende huko huko Geneva, itakuwa vizuri zaidi.
Ni ajabu kwamba unafurahi kuona Rais wenu anawekwa kundi moja na mafashisti Hatari kabisa kuwahi kutokea duniani, akina Idi Amini, Bokassa na Marcias Nguema...kundi la Madikteta wala nyama za watuWaambieni kina Lema, Mbowe, Lisu na wote wa aina yao waondoke wahamie huko.
Hao ni mabeberu tu!
ICC na USA wapi na wapi!Mbona wanachelewesha mambo?
"Jiwe ni sikio la kufa sio wa matamko huyu tumjuavyo"
Piga simu ICC watoe warranty halafu USA watoe offer ,uone kama zero hajamuarrest boss wake
Hilo ni tamko tu Kama matamko mengine ili tujue wapo na wapate mishahraNi ajabu kwamba unafurahi kuona Rais wenu anawekwa kundi moja na mafashisti Hatari kabisa kuwahi kutokea duniani, akina Idi Amini, Bokassa na Marcias Nguema...kundi la Madikteta wala nyama za watu
Reminder: hao wote waliachwa waue na kula nyama za watu kwa kipindi flan tu, lkn kilichowapata kinajulikana, Unless wewe ni Mjinga na dikteta naye ni Mjinga
Sawa, pambaneni nao...na bila violence huyo Kilaza wenu haimpendezi kutawala? Why is He So eager to kill his people?Hilo ni tamko tu Kama matamko mengine ili tujue wapo na wapate mishahra
Bila violence hilo shirika linakufa
Mila nchi ina Uhuru wake na sheria zake, hiyo ni kanuni ya UN
Huu ni mwaka wa nne mnatuletea ngonjera za watu kuuawa!Sawa, pambaneni nao...na bila violence huyo Kilaza wenu haimpendezi kutawala? Why is He So eager to kill his people?
Makaburi yataonekana wapi kama huyo Shetani wenu anaua watu kwa mikono yake mwenyewe na kula nyama zao, na kunywa damu zao? Ben Saanane yuko Wapi, Azory Gwanda yuko Wapi, Alphonce Mawazo yuko Wapi, Akwilina yuko Wapi, Kanguye yuko wapi?Huu ni mwaka wa nne mnatuletea ngonjera za watu kuuawa!
Hata makaburi hayaonekani!
Tiini mamlaka ndugu, hilo ni agizo la Mungu mwenyewe
Unabwabwaja tu hata ushahidi hunaMakaburi yataonekana wapi kama huyo Shetani wenu anaua watu kwa mikono yake mwenyewe na kula nyama zao, na kunywa damu zao? Ben Saanane yuko Wapi, Azory Gwanda yuko Wapi, Alphonce Mawazo yuko Wapi, Akwilina yuko Wapi, Kanguye yuko wapi?
Damu ya Lissu iliyomwagika Dodoma nasikia aliagiza apelekewe japo mchanga wenye damu aunuse...Nyerere alishaSema Kiongozi akishakula nyama za watu wake hataacha kula!
Foolish, Clueless idiot...go figureUnabwabwaja tu hata ushahidi huna
Kwa hiyo hata Chacha Wangwe au Mtikila wameuawa na serikali?
Hizo ni hasira za kushindwa ambazo hazitawasaidia
Jiwe haogopi mtu; hata mkimwita ICC haji.
UN ni nini kwake bana!!
Wacha tuone ujeuri huu mwisho wake ni upi..
Navyojua mimi UN inaweza kutoa warrant ya makachero wao kuja kupeleleza sintofahamu zote kabla na baada ya ychaguzi.... Je ataweza kuwazuia makachero hao wa kimataifa kuingia nchini??
Muda ni rafiki wa kweli.