Uchaguzi 2020 Geneva: UN Rights Chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections

Rwanda kafukuza ILO na hakuna cha ICC wala mkwe wa ICC endeleeni kungoja meli airport
 
Waambieni kina Lema, Mbowe, Lisu na wote wa aina yao waondoke wahamie huko.
Nyie tunajua ni wapemba wa Magufuli na pengine ni wale wapwa zake mnaofadika na hali iliyopo hivyo ni lazima muombee hali indelee ilivyo ili mzidi kufaidika. Lakini kumbukeni mamilioni ya watanzania ndiyo wanaumia na kufariki kutokana na ujinga wenu na siyo Lema wala Lissu.
 
Hivi wewe nawe ni wa kuita mtu mjinga? Unakuwa kama diktekta uchwara anapenda kuita wengine vilaza wakati yeye ndiyo kilaza namba moja! Unazungumzia Tanzania kutegemea wakati asilimia kubwa ya mambo yetu yanaendeshwa kwa msaada? Idiot!
 
Hivi wewe nawe ni wa kuita mtu mjinga? Unakuwa kama diktekta uchwara anapenda kuita wengine vilaza wakati yeye ndiyo kilaza namba moja! Unazungumzia Tanzania kutegemea wakati asilimia kubwa ya mambo yetu yanaendeshwa kwa msaada? Idiot!
Mfateni Lisu msitusumbue humu, mwenzenu kasepa nanyi nendeni msituchafulie mazingira.
 
Mfateni Lisu msitusumbue humu, mwenzenu kasepa nanyi nendeni msituchafulie mazingira.
Hata kama wewe ni mpwa wa diktekta uchwara lakini huwezi kunipangia ni nini cha kufanya. Mazingira anachafua huyo mshamba diktekta asiyejua ni nini maana ya uchaguzi! Anadhani kina mwalimu Nyerere walikuwa wanashindwa kuiba kura kishamba namna hii? Halafu kuna wajinga walikuwa wanamfananisha na Nyerere! Ni kama kufananisha uharo na dhahabu!
 
Hata kama wewe ni mpwa wa diktekta uchwara lakini huwezi kunipangia ni nini cha kufanya. Mazingira anachafua huyo mshamba asiyejua ni nini maana ya uchaguzi!
Kama mshamna ana ku control wewe mjamja basi wewe ni mshamba zaidi tena mpumbavu zaidi
Ungekua mjanja usingeongozwa na mshamba.
Narudia mfuate Tobo lisu mkale kwa jasho lenu huko kwa beberu.
 
Kama mshamna ana ku control wewe mjamja basi wewe ni mshamba zaidi tena mpumbavu zaidi
Ungekua mjanja usingeongozwa na mshamba.
Narudia mfuate Tobo lisu mkale kwa jasho lenu huko kwa beberu.
Dunia hii ina washamba wengi wamewahi kuwa viongozi. Kina Idi Amin waliweza kuwa marais. Kuwa rais hakuonyeshi kuwa wewe ni mjanja. Inawezekana kabisa kuwa wewe ni muuaji na umefika kwenye hiyo nafasi kwa sababu ya uuaji wako.
 
Even Trump is disturbed by the election outcome....
Loosing to some people is not a pain on the ass..
 
Unaposema Kuna political harassment wakati Mwekiti wachama ameuchuna sikuelewi.Kuna watu wengine utafikiri vitovu vyao havikudondokea ardhi ya Tanzania. Shida yote hii ni nchi za ulaya na America kuwapa uraia hovyo hovyo watu maskini kiaakili.
 
Na wapige ban misaada ili sasa tuuone huo uchumi wakati wakujiendesha wenyewe
 
USA wenyewe wanaogopa huko ICC mpaka waliwapiga marufuku waendesha mashitaka kuingia marekani, hata sisi tunaweza juwapiga marufuku waachane na sisi kisha tunajitoa.
Thibutu... unajua yaliyomsibu rais wa Panama, MANUEL NORIEGA?
 
Mbona hawakupiga kelele waafrika walivyokuwa wakiuliwa na Wazungu

Ukiona wanadamu hawapigiw kelele kwanini ng’ombe anachinjwa jua ng’ombe hana value yoyote kwa mwanadamu zaidi ya kuliwa na hata akiiishi hana faida ataliwa tu. Ndio wazungu wanavyotuona waafrica kama animals tu. Na matendo yetu ndio yanathibitisha
 
Chief wa United Nation ni beberu.. ha ha ha

Mntamponza baba yenu bure!! aweke record ya kuwa Rais wa kwanza Tanzania kuburuzwa ICC.

Usicheze na chief wa UN aisee!! Vichezeeni hivi vi taasisi vya Africa ila siyo UN.
One World Order....

The Luciferianz
 
Wataweza kweli?? Hata wakiungana?? Nchi yetu ku itukana?? Magufuli baba lao...yan huko vina wapwita hadi basi
 
Leo hii tukizichapa na Uganda au Kenya jwtz wanaelewa wananchi wa Tanzania watakuwa upande gani .cccm mnaliumiza jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…