Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake

Sizungumzii Netflix mkuu iyo ya mwaka Jana ndo yakwanza kweli
Ila anamovie nyingi Sana alizouza kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Authority yakusema "akuna" umeitolea wapi mkuu ? Binafsi napenda sana mabinti weusi kwani kwa dunia ya sasa inaonyesha jinsi gani wapo real [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kajipa mamlaka ya usemaji
Hajui watato black beauty sokoni bei Yao Ni ya juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio waigizaji tu wanaotakiwa kujifunza. Kila mmoja kwa nafasi yake ajitahidi kutumia fursa na kujiletea maendeleo. Hauwezi kuwabeza waigizaji kwamba hawana kitu endapo na wewe hauna cha maana unachokifanya.
Wewe kweli Monk...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…