Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake

Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake

Bro

Nina account Netflix mwaka wa tatu huu,Nnaji ndio kaweka movie hii ya kwanza!

Sasa sijui unaongea nini mzee!

Unaongea as if kauza Netflix movie kama buku hivi,kumbe ni movie moja!

Mwanamke tajiri kwenye hizo makitu zao huko NG ni Omotolla ambae hana hizo nyumba mnazoonesha hapa!

Duh!
Sizungumzii Netflix mkuu iyo ya mwaka Jana ndo yakwanza kweli
Ila anamovie nyingi Sana alizouza kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado ni mweusi....wala hajakuza tako masista do wa Bongo movie jifunzeni [emoji2]
163693-b59311d31218a1a34debcb2665fc2a32.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Authority yakusema "akuna" umeitolea wapi mkuu ? Binafsi napenda sana mabinti weusi kwani kwa dunia ya sasa inaonyesha jinsi gani wapo real [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kajipa mamlaka ya usemaji
Hajui watato black beauty sokoni bei Yao Ni ya juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio waigizaji tu wanaotakiwa kujifunza. Kila mmoja kwa nafasi yake ajitahidi kutumia fursa na kujiletea maendeleo. Hauwezi kuwabeza waigizaji kwamba hawana kitu endapo na wewe hauna cha maana unachokifanya.
Wewe kweli Monk...!!
 
Back
Top Bottom