Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake

Siku hizi kajichubua. Alikuwaga super mahogany.
 
Hapa wadada wanashindana kununua nywele Kali.
 
Nmeumia sana kuona hayo majumba mimi hela yangu nyingi niliwekeza kwenye vinena [emoji17][emoji17]
 
Last week nilikuwa pale regency hotel kwa chini kwny bar namuona Wema anaingia hotel kalewa anaagiza chips mayai [emoji38][emoji2].


Wabongo sijui nani katuroga
 
Hata kama alicheza Forex au NetFlix kama ONTARIO nitakuwa wa mwisho kabisa kuamini huyo mwanadada wa kinaijeria anamiliki hayo majumba tuliyoonyeshwa labda kama amepiga picha ili "MANYUMBU" yaingie king kuunguziwa Account zao za FOreX kama Sir Jeff alivyowaungizia watu kwa kuwaonyesha MASHAMBA Hewa.
 
Huku kwetu waigizaji wànajiita maboss lady na madam wakati ni wadangàji na wamepanga nyumba
 
Hivi yale kumbe hayakuwa mashamba yake???[emoji44][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yale kumbe hayakuwa mashamba yake???[emoji44][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa USANII labda awe amenunua kipindi kashaanza kuwapiga MANYUMBU ila mwanzo ilikuwa GEAR ya kuwaingiza "WATU KING",Ukitaka kuwapiga watu lazima uwaonyeshe kwamba umefanikiwa ni kama Forever wanavyotuonyesha wamenunua Range Rover 0Km na Jeep 0km wakituonyesha Cheque za milioni 100 etc kuwavutia "MANYUMBU" wawaingize kwenye 18.

PS: NYUMBU maana yake ZERO BRAIN,mtu asiyeshirikisha akili vizuri katika kuamua jambo/mambo.
 
Weka na hati ya hizo nyumba...ili tukuamini wengine sio manyumbu humu...alafu kitu kingine....story kama hizi itapendeza ukiwa unamuhadithia babayako au vp
 
Ningejitahidi kuelewa kama ingekuwa ndie Mwigizaji Mwanamke Tajiri zaidi Afrika, lakini kusema ndie Mwigizaji Tajiri Zaidi Africa... ngumu kumeza! Yaani ana utajiri wa kumzidi mtu kama Jim Iyke?! I doubt ikiwa anamfikia hata mtu kama Desmond!!

Tena basi, South Africa nako kuna waigizaji weney pesa ndefu, wengine wanafanya kazi Hollywood! Kwa mfano, yaani Geneveive ni tajiri kumzidi mtu kama Trevor Noah alieanzia Isidingo! Ni juzi juzi tu hapa TMZ waliripoti habari ya Trevor Noah kununua mjengo wa Chris Paul wa Houston Rockets kwa USD 20 Million!

Labda hapo tena tuseme mwigizaji tajiri zaidi wa Kiafrika anayeishi Afrika!
 
Mkuu yeye kuwa tajiri hakufanyi hao wengine wasiwe matajiri
Nimeandika kiswahili kinaeleweka vizuri tu sijasema yeye ndo tajiri kuzidi wote , matajiri wanaweza kuwa hata 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wetu walikimbia shule halafu wanategemea miujiza ya Kampeni, total madness
 
Mmmmmh!....kule insta namuona anaendeleza project zake, ushauri nasaha

Ila ndo hivo mwamko mdogo sana kule, comments zenyewe chache balaa!

Kule wanawapenda umbea tuu [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwekee hapa Mjengo mmoja hapa wa huyo Kanumba mnaemsifia kuwa alikuwa na mafanikio kwenye Movie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…