Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake

Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake

Geneveive Nnaji mwenye miaka 40 Ni moja wa waigizaji wanaoheshimika zaidi nchini Nigeria na kiwanda cha uigizaji cha Nollywood.
Nnaji Ni muigizaji asiependa makuu Wala Kiki.
Nchini Nigeria anaheshimika zaidi na kupendwa kutokana na sifa kubwa ya kutobadilisha rangi yake na kuishi simple japokuwa anautajiri mkubwa.
Geneveive alianza kuigiza wakati akisoma shahada katika chuo kikuu Cha Lagos.
Mwaka 2018 Geneveive Nnaji alipiga pesa ndefu zaidi baada ya movie yake LionHeart kununuliwa na Netflix kwa milioni $3.5 za kimarekani.
Kwasasa muigizaji huyo anamalizia mjengo wake mkubwa zaidi Real Estate mwenye upana wa mita zaidi ya 50 uliopa Abuja kwa ajiri ya biashara na ofisi mbalimbali.
Hii Ni baadhi ya mijengo yake iliyopo Nigeria na Ghana.

Wasanii wa Bongo Movie nna Cha kujifunza hapa maana siku hizi kazi mnayofanya Ni kuzindua miradi ya serikali Mara mtembelee standard guarge, treni ya umeme na shughuli za chamaView attachment 1042991View attachment 1042992View attachment 1042993View attachment 1042994View attachment 1042995View attachment 1042996View attachment 1042997View attachment 1042998

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi kajichubua. Alikuwaga super mahogany.
 
Nmeumia sana kuona hayo majumba mimi hela yangu nyingi niliwekeza kwenye vinena [emoji17][emoji17]
 
Last week nilikuwa pale regency hotel kwa chini kwny bar namuona Wema anaingia hotel kalewa anaagiza chips mayai [emoji38][emoji2].

Wabongo sijui nani katuroga
 
Hata kama alicheza Forex au NetFlix kama ONTARIO nitakuwa wa mwisho kabisa kuamini huyo mwanadada wa kinaijeria anamiliki hayo majumba tuliyoonyeshwa labda kama amepiga picha ili "MANYUMBU" yaingie king kuunguziwa Account zao za FOreX kama Sir Jeff alivyowaungizia watu kwa kuwaonyesha MASHAMBA Hewa.
 
Huku kwetu waigizaji wànajiita maboss lady na madam wakati ni wadangàji na wamepanga nyumba
 
Hata kama alicheza Forex au NetFlix kama ONTARIO nitakuwa wa mwisho kabisa kuamini huyo mwanadada wa kinaijeria anamiliki hayo majumba tuliyoonyeshwa labda kama amepiga picha ili "MANYUMBU" yaingie king kuunguziwa Account zao za FOreX kama Sir Jeff alivyowaungizia watu kwa kuwaonyesha MASHAMBA Hewa.
Hivi yale kumbe hayakuwa mashamba yake???[emoji44][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yale kumbe hayakuwa mashamba yake???[emoji44][emoji44][emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa USANII labda awe amenunua kipindi kashaanza kuwapiga MANYUMBU ila mwanzo ilikuwa GEAR ya kuwaingiza "WATU KING",Ukitaka kuwapiga watu lazima uwaonyeshe kwamba umefanikiwa ni kama Forever wanavyotuonyesha wamenunua Range Rover 0Km na Jeep 0km wakituonyesha Cheque za milioni 100 etc kuwavutia "MANYUMBU" wawaingize kwenye 18.

PS: NYUMBU maana yake ZERO BRAIN,mtu asiyeshirikisha akili vizuri katika kuamua jambo/mambo.
 
Weka na hati ya hizo nyumba...ili tukuamini wengine sio manyumbu humu...alafu kitu kingine....story kama hizi itapendeza ukiwa unamuhadithia babayako au vp
 
Ningejitahidi kuelewa kama ingekuwa ndie Mwigizaji Mwanamke Tajiri zaidi Afrika, lakini kusema ndie Mwigizaji Tajiri Zaidi Africa... ngumu kumeza! Yaani ana utajiri wa kumzidi mtu kama Jim Iyke?! I doubt ikiwa anamfikia hata mtu kama Desmond!!

Tena basi, South Africa nako kuna waigizaji weney pesa ndefu, wengine wanafanya kazi Hollywood! Kwa mfano, yaani Geneveive ni tajiri kumzidi mtu kama Trevor Noah alieanzia Isidingo! Ni juzi juzi tu hapa TMZ waliripoti habari ya Trevor Noah kununua mjengo wa Chris Paul wa Houston Rockets kwa USD 20 Million!

Labda hapo tena tuseme mwigizaji tajiri zaidi wa Kiafrika anayeishi Afrika!
 
Mkuu yeye kuwa tajiri hakufanyi hao wengine wasiwe matajiri
Nimeandika kiswahili kinaeleweka vizuri tu sijasema yeye ndo tajiri kuzidi wote , matajiri wanaweza kuwa hata 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Apo kwenye kuiba kazi za wasanii Nigeria Ni moja ya nchi wasanii wake wanaibiwa Sana Kuna wajanja wajanja wengi Sana Tena wameenda shule kule.
Wasanii wetu hawawezi kunificha kwenye kichaka Cha kusema wanaibiwa Sana kazi zao.
Wanaigeria Ni wezi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasanii wetu walikimbia shule halafu wanategemea miujiza ya Kampeni, total madness
 
Ulikuwa USANII labda awe amenunua kipindi kashaanza kuwapiga MANYUMBU ila mwanzo ilikuwa GEAR ya kuwaingiza "WATU KING",Ukitaka kuwapiga watu lazima uwaonyeshe kwamba umefanikiwa ni kama Forever wanavyotuonyesha wamenunua Range Rover 0Km na Jeep 0km wakituonyesha Cheque za milioni 100 etc kuwavutia "MANYUMBU" wawaingize kwenye 18.

PS: NYUMBU maana yake ZERO BRAIN,mtu asiyeshirikisha akili vizuri katika kuamua jambo/mambo.
Mmmmmh!....kule insta namuona anaendeleza project zake, ushauri nasaha

Ila ndo hivo mwamko mdogo sana kule, comments zenyewe chache balaa!

Kule wanawapenda umbea tuu [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unadhani wasanii wa Nigeria hawaibiwi kazi zao?lakini bado wanaendelea kupiga pesa

Hata hapa Bongo pamoja na mifumo mibovu lakini mtu Kama Diamond na Alikiba mbona wanafanikiwa?

Changamoto za ubovu wa mifumo bado Kanumba alikuwa anatoboa
Hawa waliopo hawana excuse ya maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee hapa Mjengo mmoja hapa wa huyo Kanumba mnaemsifia kuwa alikuwa na mafanikio kwenye Movie!
 
Back
Top Bottom