Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa na akili timamu, na kesho jumatatu watatoa ufafanuzi wa kisheria uliopelekea feisal abakishwe yanga,
Lakini pamoja na ayo naona kuna lile genge la wahuni linamtaka aende CAS sasa waswahili uwa wana msemo wao kwamba ukitaka kuruka uagane na nyonga,,Wasiache pia kumchangia pesa ya kufile case dola elfu 25 za kitanzania kwa upande wake lakini pia mlalamikiwa ambae ni yanga itabidi ailipie pia dola elfu 25 kwa maana inatakiwe pesa ilipwe yote ili shauri liendelee asipolipa mmoja wapo iyo case inatupwa, na kwakuwa feisal ndiye mlalamikaji awezi kuwalazimisha yanga walipe iyo pesa yeye ndiye itabidi alipe yote ili shauri lisajiliwe ni kama kesi ya Yanga na Morrison ilibidi yanga ilipe mpunga wote ili mambo yaendelee, kwaiyo Feisal aandae mil.100 na ushee kufaili case yake na apo bado anakuwa ajajua atashinda ama atashindwa, akishindwa yanga itafungua case nyingine ya kuomba fidia kwa mchezaji kutokana na usumbufu na kutoitumikia klabu kulingana na mkataba husika, Fidia iyo uwezi jua ni shingapi na yenyewe labda atalipiwa na lile genge lisije likamshauri alafu badae likaingia mitini kwenye mambo ya malipo