CHADEMA inayo haki ya kufanya walivyo amuwa.Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais
Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana nguvu ya kuzuia uchaguzi mbali na kutumia vyombo vya kanisa kuzuia, bunge la ulaya, wazee wastafu kina Rioba, wamemtumia Pole lkn ngoma ipo palepale.
Kamwe nchi haiwezi kuyumbishwa na genge la wahuni wanao dhani wanaweza kuichafua amani ya nchi.
Nashauri hawa wahuni wote wafuatiliwe hadi chooni.
Uhuni Wa Chadema Ukoje ?
Unaingiaje Uwanjani,katika Mechi
Ambayo Mpinzani Wako Kawatafuta
Marefa Yeye Na Kila Kitu Ni Chake ?
Halafu Wanatoka Kuja Kujitapa Kuwa,eti Wao Wanapendwa Na Wanachama Wengi Kuliko Yeyote.
Wakati Mnaogopa Uwanja Huru Dhidi Ya Upande Mliowazidi Kila Kitu.
CCM HAIKUBALIKI NA HAINA UWEZO WA KUISHINDA CHADEMA KWASASA.
mtoeni gerezani tuone wanazuiaje na sio usemavyoSwala sio ķuzui ila ni kuepusha vifo ambavyo havina ulazima kwa sababu ya uroho wa madaraka wa CCM, binafsi nawapongeza sana chadema! Kwa uamuzi wa kutoingia kwenye uchaguzi ambao mshindi anajulikana huo ni upumbavu wa hali juu!! Chadema nawapongeza mpaka kesho na sisi wananchi tuliowengi tupo nao! Na wasiogope tupo nao kwa kipindi hiki!
Ngoja hao madalali wa kisiasa, waende wenyewe! Mwanaume ni yule anayesimamia kile anachokiamini pasipo kuyumbishwa na wasakatonge na genge la wahuni! Na kwa jinsi tundu lissu ni mwanaume! Na huo ndo ukweli! Ndo maana CCM inamuogopa kama ukoma
Na CCM Mvuto Wake Uko Wapi?Chadema ilikuwa na nguvu na tishio wakati Hayati Lowassa anagombea URAIS mwaka 2015, haijawahi kutokea.
Leo hii chadema gani ina nguvu wakati sasa hayupo Mbowe, hayupo Mchungaji Msigwa, hayupo Benson Kigaiya, hayupo John Mrema, hayupo Salum Mwalimu n.k n.k
Leo Lisu na Heche wana nguvu gani kama sio uhuni tu!!!
Kwanini atolewe gerezani wakati ametenda kosa? yeye nani haswa? hakuna aliye juu ya sheria.. wacha sheria ifuate mkondo wake. Mahakama ndiyo itakayo amua kama ana hatia au la.mtoeni gerezani tuone wanazuiaje na sio usemavyo
Uhai wa nchi hii ni uwepo wa CCM hilo halina ubishi.Na CCM Mvuto Wake Uko Wapi?
CCM Ilishakufa Enzi Za Mkapa.
Kidogo Magufuli Akaifufua Na Akaiua Tena.
Tangu Hapo CCM Haina Mvuto Ni Kama Kundi La Panya Wenye Ndevu.
Hivi wewe hua ni mwanaume au mwanamke? Sorry to ask thisMwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais
Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana nguvu ya kuzuia uchaguzi mbali na kutumia vyombo vya kanisa kuzuia, bunge la ulaya, wazee wastafu kina Rioba, wamemtumia Pole lkn ngoma ipo palepale.
Kamwe nchi haiwezi kuyumbishwa na genge la wahuni wanao dhani wanaweza kuichafua amani ya nchi.
Nashauri hawa wahuni wote wafuatiliwe hadi chooni.
Mpelekeni mahakamaniKwanini atolewe gerezani wakati ametenda kosa? yeye nani haswa? hakuna aliye juu ya sheria.. wacha sheria ifuate mkondo wake. Mahakama ndiyo itakayo amua kama ana hatia au la.
Kwani Tanzania Kuna uchaguzi au Kuna upigaji kura ?unawezaje kuzuia uchaguzi
https://www.facebook.com/Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais