Genge la wahuni wa CHADEMA masalia bado wanaendelea kuota

Mpelekeni mahakamani
Mahakama gani tena, wakati kila siku unamuona anapelekwa.
anapaswa aheshimu taratibu za kisheria, sio anavyo taka yeye na mawakili wake.
Hata Pdidi yupo gerezani anasote karibia mwaka sasa huko Marekani.
Mahakama huwa haipelekeshwi.
 
Octoba 29 watanzania wote tuna tiki. We baki na ndoto zako✔️✔️✔️
 

Chadema ilisha kufa kitambo.
Mh. Mbowe ndiye aliye ijenga CDM ikawa na nguvu sio Lissu.
Lissu hana nguvu yoyote bila uwepo wa Mbowe.
Hakuna sababu yoyote ya kumhofia Lissu ktk kipindi hichi, ila jambo msilolijua ni kwamba Lissu alisha kiuza chama kitambo!
1. Lisu anatamka matamshi ya kihani, huku akijua kuwa ni kosa kisheria, na anajua madhara yake.
2. Katibu Mkuu anasusia kwenda kusaini kanuni za maadili ya Uchaguzi Mkuu, huku akijua madhara yake. N.k n.k.
ila mtakuja kujua kama hamjui.
 
Hii ndio hali ya ccm kwasasa
 
Akina G55
Akina Mrema na G55 ndiyo chadema masalia kwa mujibu wa H Polepole. Wamekula pesa nzuri ilyotakata. uchaguzi wa Tume ile ile kweli?
 
Uhai wa nchi hii ni uwepo wa CCM hilo halina ubishi.
Sisi Tunajua Ni Mungu Ndio Anafanya Tanzania Iwepo Na Aman
Ni Kutokana Na Hofu Ya Mungu,
Waliyonayo Watanzania.

Mimi Binafsi Sijawahi Uona Umuhimu
Wa Ccm Tanzania,waachie Tu Nchi
Waone Nchi Itakavyo Paa.
 
Hakuna mwenye akili anaweza kushiriki uchaguzi wa kipuuzi, endeleeni tuu hamjakatazwa ila sisi hatushiriki
 
Unajua maana ya amani wewe?
Ni amani gani hiyo watu wanakunywa maji ya tope?
 
Lunatic
 
Unaongea kama Zuzu.
 
heche habari yako.
 
Manyumbu yalivyo mapumbavu yalifikiri kabisa yangeweza kuzuia uchaguzi. Ni mazuzu tu yasiyojielewa.
 
Li Lione hili jinga
 
Na CCM Mvuto Wake Uko Wapi?
CCM Ilishakufa Enzi Za Mkapa.
Kidogo Magufuli Akaifufua Na Akaiua Tena.
Tangu Hapo CCM Haina Mvuto Ni Kama Kundi La Panya Wenye Ndevu.
Umesahau aliyekufa ni babako, we kenge CCM ndio imeimarika zaidi kuliko wakati mwingine wowote
 
Chadema masalia mpoooo?
Kipenga kimepulizwaaaaaaaaa.
Octoba watanzania wanatiki✔️✔️✔️
 
CCM ni jimti kubwa lenye mizizi iliyo jikita kwenye kina kirefu sana. haiwezi kuangushwa wala kung'olewa na gege la wahuni.
Kina Mnyika, Heche na Lisu wao wenyewe wanapigania matumbo yao
Nothing last forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…