Genge la wanawake wenye silaha labaka wanaume kwa nguvu.

Nimeipenda hii kwa bongo ikianza mambo yamekwisha maana wabakwaji ndio watakuwa wabakaji
 
Da sipati picha unabakwa na demu amenona kinomi,haki ya nani lazima wakimbie shughuli kitu kimesimama kama singe ya bunduki weeeeee usijaribu.
 
kudadeki.......!!wamejiwezesha kwa mitutu na WAMEWEZA!yani hawa ni noumer
sasa hivi polisi waliovaa kiraia wenye bastola wanasimama barabarani ili nao watekwe ili kufanikisha kuwakamata kina mama hao,inachekesha lakini ndio hivyo tena.
 
waongo hao wanaume,hizo ndude zao zinasimamaje na mtutu wa bunduki???wamekubaliana labda baadae wakayeyushana malipo lol
 
waongo hao wanaume,hizo ndude zao zinasimamaje na mtutu wa bunduki???wamekubaliana labda baadae wakayeyushana malipo lol
Jestina hao wanaume huwa wanaokotwa nje ya mji siku 4-5 baada ya kutekwa wakiwa hoi na wale waliokuwa jeuri wamevimba kwa kipigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…