Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
dah.... Kweli wanawake wakiwezeshwa wanaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si waje huku bongo ambako badala ya kubaka wao ndo watabakwa!
sasa hivi polisi waliovaa kiraia wenye bastola wanasimama barabarani ili nao watekwe ili kufanikisha kuwakamata kina mama hao,inachekesha lakini ndio hivyo tena.kudadeki.......!!wamejiwezesha kwa mitutu na WAMEWEZA!yani hawa ni noumer
Jestina hao wanaume huwa wanaokotwa nje ya mji siku 4-5 baada ya kutekwa wakiwa hoi na wale waliokuwa jeuri wamevimba kwa kipigo.waongo hao wanaume,hizo ndude zao zinasimamaje na mtutu wa bunduki???wamekubaliana labda baadae wakayeyushana malipo lol