- Thread starter
- #21
Kaka nimemeza hiyo dozi lakini vinajirudi baada ya mda flani kama wiki1 au nakazarikaNunua box la dawa za aciclovir 200mg...ukipata dalili za tatizo piga dozi yako ya kutwa mara 3 kwa siku 5 basi hautapata usumbufu tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka nimemeza hiyo dozi lakini vinajirudi baada ya mda flani kama wiki1 au nakazarikaNunua box la dawa za aciclovir 200mg...ukipata dalili za tatizo piga dozi yako ya kutwa mara 3 kwa siku 5 basi hautapata usumbufu tena.
Nimemeza ndani ya miezi3 vidonge viwili mara 2Kaka nimemeza hiyo dozi lakini vinajirudi baada ya mda flani kama wiki1 au nakazarika
Sawa unanisaidiaje maana naitaji tiba una mtu unamfahamu au ushauri niende wapi?Umezembea kwa kweli. Vinapona na sio kupona vyenyewe anaye kwa mbia hivyo Kuna maala elimu na maarifa yake yameishia hapo. Ukipata doctor (MD) mzuri anaweza kukupa dawa na ukapona. Pia ukipata Healing Doctor ( herbalist) anaweza kukupa dawa na ukapona within a month. Nimewahi shuhudia watu wengi wakipona ugonjwa huo na unao endana na huo inategemea na kiwango Cha athari wakipona kwakuwapa dawa mwenyewe na wakaendelea na maisha yao kama kawaida. Unawezafanya maamuzi ya wapi unataka hupate tiba. Usikubali kuishi na hili tatizo ndugu wikikua litakuletea madhara zaidi sio tu eneo la uzazi ila mdomoni, ngozi kwa ujumla na organs nyingine zinaweza athirika.
Asante, ndugu yangu nishaenda hosptal kila specialist wa magonjwa ya ngozi nae kutana nae anachonambia ni kwamba uo ugonjwa auna tiba, other wise ni kumeza dawa ndani ya miezi 6 then itapotea lakini nimefanya hivyo kwa kumeza miezi 3 naona shida bado ipo ila bado vinajirudi, na wanasema vinaingia kwenye damu kabisa(virus). Kwahiyo nikaona nijaribu kutuma umu labda kuna mtu ana uzoefu navyo aliwakupata na akapona na mimi anipe mbinuUnatibika nenda muhimbili onana na gyno utasaidiwa
Uwa na mezaga Acyclovir vikipotea naacha, ila dokta alinishauri nimeze hiyo dozi ndani ya miezi 6 ambapo wiki moja ni 2 mara 3, ila zilizobaki ni 2 mara moja lakini ilivyofika miezi 3 vikanitokeaNi dawa gani umewahi kutumia ikashindikana mkuu?
Uwa na mezaga Acyclovir vikipotea naacha, ila dokta alinishauri nimeze hiyo dozi ndani ya miezi 6 ambapo wiki moja ni 2 mara 3, ila zilizobaki ni 2 mara moja lakini ilivyofika miezi 3 vikanitokeaNunua box la dawa za aciclovir 200mg...ukipata dalili za tatizo piga dozi yako ya kutwa mara 3 kwa siku 5 basi hautapata usumbufu tena.
Uwa na mezaga Acyclovir vikipotea naacha, ila dokta alinishauri nimeze hiyo dozi ndani ya miezi 6 ambapo wiki moja ni 2 mara 3, ila zilizobaki ni 2 mara moja lakini ilivyofika miezi 3 vikanitokeaUmezembea kwa kweli. Vinapona na sio kupona vyenyewe anaye kwa mbia hivyo Kuna maala elimu na maarifa yake yameishia hapo. Ukipata doctor (MD) mzuri anaweza kukupa dawa na ukapona. Pia ukipata Healing Doctor ( herbalist) anaweza kukupa dawa na ukapona within a month. Nimewahi shuhudia watu wengi wakipona ugonjwa huo na unao endana na huo inategemea na kiwango Cha athari wakipona kwakuwapa dawa mwenyewe na wakaendelea na maisha yao kama kawaida. Unawezafanya maamuzi ya wapi unataka hupate tiba. Usikubali kuishi na hili tatizo ndugu wikikua litakuletea madhara zaidi sio tu eneo la uzazi ila mdomoni, ngozi kwa ujumla na organs nyingine zinaweza athirika.
Asante, ndugu yangu nishaenda hosptal kila specialist wa magonjwa ya ngozi nae kutana nae anachonambia ni kwamba uo ugonjwa auna tiba, other wise ni kumeza dawa ndani ya miezi 6 then itapotea lakini nimefanya hivyo Dokta alinambia ninywe 2 mara 3 kwa wiki 1 then 2 mara 1 mpaka mwezi uishe lakini baada ya miezi 3 vikatokea na vinajirudia, na wanasema vinaingia kwenye damu kabisa(virus). Kwahiyo nikaona nijaribu kutuma umu labda kuna mtu ana uzoefu navyo aliwakupata na akapona na mimi anipe mbinuMiaka miwili unateseka ila unakuja jamiiforums kusolve tatizo
Genital herpes 2kwa lugha ya kiswahili inaitwaje hiyo ndugu mtoa hoja, kwa faida ya wadau?🐒
Nipo arusha.Asante, ndugu yangu nishaenda hosptal kila specialist wa magonjwa ya ngozi nae kutana nae anachonambia ni kwamba uo ugonjwa auna tiba, other wise ni kumeza dawa ndani ya miezi 6 then itapotea lakini nimefanya hivyo Dokta alinambia ninywe 2 mara 3 kwa wiki 1 then 2 mara 1 mpaka mwezi uishe lakini baada ya miezi 3 vikatokea na vinajirudia, na wanasema vinaingia kwenye damu kabisa(virus). Kwahiyo nikaona nijaribu kutuma umu labda kuna mtu ana uzoefu navyo aliwakupata na akapona na mimi anipe mbinuNenda hospital wataalam wapo.
Upo mkoa gan.
Asante, ndugu yangu nishaenda hosptal kila specialist wa magonjwa ya ngozi nae kutana nae anachonambia ni kwamba uo ugonjwa auna tiba, other wise ni kumeza dawa ndani ya miezi 6 then itapote lakini nimefanya hivyo ila bado vinajirudi, na wanasema vinaingia kwenye damu kabisa(virus). Kwahiyo nikaona nijaribu kutuma umu labda kuna mtu ana uzoefu navyo aliwakupata na akapona na mimi anipe mbinu
Hio shida hujirudia kutokana na sababu nyingi sana zikiwemo: msongo wa mawazo, kujichua mara kwa mara, kupigwa na jua mda mrefu nk. Kama vinajirudia ukiwa unaendelea na dozi muone daktar ama akupandishie dozi kutoka vidonge vya 200mg mpaka 800mg ama dripu kabisa kwa siku kadhaa na kurudi kwenye dozi ndogo baadae.Kaka nimemeza hiyo dozi lakini vinajirudi baada ya mda flani kama wiki1 au nakazarika
DmUwa na mezaga Acyclovir vikipotea naacha, ila dokta alinishauri nimeze hiyo dozi ndani ya miezi 6 ambapo wiki moja ni 2 mara 3, ila zilizobaki ni 2 mara moja lakini ilivyofika miezi 3 vikanitokea
Habari, natumaini mkoa poa, kuna yeyeto anaejua tiba ya Genital herpes au aliwai kupata na anakapoma ili aweze nisaidia na mie maana niko navyo sasa ni miaka mwili sijafanikiwa kupona.
Genital herpes Malengelenge Kwa Utupu wa Mwanamke
Malengelenge kwa Utupu wa Mwanamume