No shit sherlockSalaam, Shalom!
Kwanini watu waliotokea kuwa na akili nyingi sana tangu utotoni huitwa geniuses?
Karibuni🙏
Duniani kuna maarifa mengi, yanamsubiri atakayeyatafuta ayatumie naye ataitwa jiniazi. MdadisiKwanini watu waliotokea kuwa na akili nyingi sana tangu utotoni huitwa geniouses?
Exactly hilo ndio lilikuwa jibu la ‘Richard Feynman’ alipoulizwa are you special. Jibu lake likikuwa hapana yeye ni mtu wa kawaida tu sema alipenda physics toka akiwa mdogo na kusoma sana kwa bidii.Duniani kuna maarifa mengi, yanamsubiri atakayeyatafuta ayatumie naye ataitwa jiniazi. Mdadisi
Kama ambavyo duniani kuna mali nyingi, zinamsubiri atakayezitafuta na azitumie ataitwa tajiri. Mtafutaji.
Wote ni watu kama watu wengine. Tabia zao tu. To be is to do, to do is to be.
Elon musk,billgate,mack zugerbagWataje hao Aliens ambao ni Genius
Wa kiwanda cha bongo fleva 😂😂😂😂.Nikki wa pili
Ingia kwenye documentary za ubunifu na uvumbuzi utawaonaHalafu magenius siku hizi hawapo tena?? Zaidi ya hawa hawa tunaowasomaga kwenye vitabu mbona hamna wapya???.....hadi kuna muda nahisi hii dunia mengi ni maigizo hamna ukweli
Hakika 👊Exactly hilo ndio lilikuwa jibu la ‘Richard Feynman’ alipoulizwa are you special. Jibu lake likikuwa hapana yeye ni mtu wa kawaida tu sema alipenda physics toka akiwa mdogo na kusoma sana kwa bidii.
Akaongezea uelewa alioupata huko ndio umemjengea msingi kuja na ideas mpya za physics. Lakini hana tofauti na mtu mwingine yeyote zaidi ya bidii na muda mwingi aliotenga kusoma physics.