Geniveros interview on muosha rungu live show!

Ni kwa namna gani unakabiliana Na u single mother
Unadhan kukosekana kwa baba kunawaathiri vipi watoto
Huwa unawafariji vipi wanao

DJ sepetu
Wawili ni wawili tu!
Kuhakikisha wanapata mahitaji yao ya msingi kwa wakati nashukuru Mungu sio wasumbufu sana kumlilia baba yao !
Ni watoto lakini wanajitambua wanapambana na hali zao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafundisha primary or secondary!?
Nini kinafanya watu wengi kuona kuwa mwalimu ni last option!?
Nn kifanyika kuondoa dhana hii


DJ sepetu
Secondary...!!

Ualimu ni kazi kama kazi nyingine

Naweza sema mfumo wa serikali ndo umefanya hii kazi idharaulike kwa watu wengi

Hakuna kazi ngumu kama kudeal na binadamu
Tatizo ni system tu!hamna cha zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Secondary...!!

Ualimu ni kazi kama kazi nyingine

Naweza sema mfumo wa serikali ndo umefanya hii kazi idharaulike kwa watu wengi

Hakuna kazi ngumu kama kudeal na binadamu
Tatizo ni system tu!hamna cha zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi maslahi wengi walimu wanalalamika kipato kidogo
Wewe unakabiliana vipi Na mshahara mdogo

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…